Uhuru Kenyatta: Raila Odinga akishinda uchaguzi tutamuondoa ndani ya miezi mitatu tu

Uhuru Kenyatta: Raila Odinga akishinda uchaguzi tutamuondoa ndani ya miezi mitatu tu

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347


Rais Uhuru Kenyatta amesema ikiwa Raila Odinga atashinda uchaguzi wa marudio, Jubilee watatumia wingi wao bungeni kumshtaki na kumng’oa katika muda wa miezi mitatu tu.

Uhuru na Makamu wake William Ruto walisema wanajivunia idadi kubwa ya wabunge walionao. Wawili hao ndio watapambana na wagombea wa muungano wa Nasa Raila (ODM) na Kalonzo Musyoka (Wiper) katika uchaguzi wa marudio uliopangwa Oktoba 17.

"Hakuna haja ya kuogopa hata akichaguliwa. Tuna idadi kubwa ya wabunge na tutamtoa Ikulu katika muda wa miezi mitatu,” alisema Uhuru.

Akizungumza Ikulu leo Jumatatu, Rais amesisitiza kwamba wana idadi kubwa ya wabunge na maseneta hivyo wanaweza kutumia wingi wao huo wakati wowote wakiona inafaa.

"Hakuna kitu cha kuhofia. Leo hii hata Raila akichaguliwa atatawala Kenya kwa njia gani. Jubilee inaweza kukamilisha biashara hata asipokuwepo seneta wa Nasa...hatuwahitaji."

Muungano wa chama tawala pamoja na vyama rafiki una jumla ya wabunge 193 katika Bunge la watu 349 na wawakilishi wanawake.

Kubadili Katiba

Kutokana na wingi huo, Uhuru amesema wanaweza hata kubadili Katiba bila mchango wa upinzani.

"Katika Bunge la Taifa, tuna upungufu wa wabunge 13 tu, hii ina maana tunaweza hata kubadili katiba bila wao. Atafanya nini huyu? Atafanya nini?" aliuliza.

Uzinduzi wa Bunge

Kuhusu kikao cha kwanza cha Bunge kesho Uhuru amesema kitafanyika hata kama wawakilishi wa Nasa hawatahudhuria.

Wabunge wa Nasa wamesema “watagoma” kuhudhuria uzinduzi wa Bunge litakalohutubiwa na Rais Uhuru.

Kiongozi wa walio wachache bungeni Opiyo Wandayi amesema hawawezi kumsikiliza Rais asiye na mamlaka.


====================


Now who is the coup plotter???? Eeeh???

Mtu anaogopa atashindwa 17th sasa wameanza kupanga coup before even the election smh!!!

Further more jubilee mps are vowing to change the constitution

Ome of them has suggested scrapping off term limits nimeshangaa!!!.....

I really hope Raila wins and dissolves that parliament for Not being able to reach the 1 third gender rule ......this idiots will burn this country and turn it into a dictatorship for power..
Uhuru has nearly 660,000 acres of land allegedly in his possession mbona anakuja kutusumbua hivi???

Some entire countries like israel only have 1mn acres making 36bn$ in agric sales .......am stunned by their selfish interest!!!.....

===================================
 

Attachments

  • _96803925_gettyimages-689737050.jpg
    _96803925_gettyimages-689737050.jpg
    18.5 KB · Views: 96
Why has Asia boomed in recent decades, while Africa has sunk into penury?

The pithiest answer is a joke I first heard in Nigeria. An African and an Asian make friends at Oxford before becoming politicians.

news-graphics-2005-_597156a.gif

Years later, the African visits the Asian and is impressed by his mansion, with a Mercedes-Benz in the drive.

"How can you afford this?" he asks. The Asian points to a majestic highway outside. "See that road?" he says with a wink. "Ten per cent."

Related Articles
Later the Asian visits the African's home - a palace with a dozen Mercedes-Benzes.

Anticipating the question, the African says: "See that road?" The Asian sees only bush. "100 per cent."

This is closer to the truth than many on Tony Blair's Commission for Africa would care to admit. East Asia has grown richer in spite of corruption because its rulers felt bound to not steal too much.

They may have skimmed off a bit but they did build the road. Africa's rulers did not.

Consider the cases of Kenya and South Korea. In 1960 South Koreans were, on average, poorer than Kenyans. They are now 25 times richer. What can account for this extraordinary divergence?

It is unlikely to be the legacy of colonialism. The British were disrespectful of Kenyan culture and crushed the Mau-Mau uprising with great ferocity. The Japanese were far more brutal, banning Korean culture and enslaving perhaps 100,000 Korean girls to work in military brothels.

Then, after the Second World War, Korea endured a civil war in which a million people died. Kenya had no comparable trauma.

Some of the differences must be linked to education. South Korean children thrash nearly everyone at maths and science. Kenyan kids do not.

That is not because Koreans are more clever. A more plausible reason is that Korean children do lots of homework. In the early 1990s I lodged with a Korean family in Seoul. The two teenage boys studied hard but never hard enough for their mother. And the father told the elder one that he had to study engineering, whether he wanted to or not, because that was the way to a good job.

Contrast that with Kenya's Masai tribe. Rural Masai send their cleverest sons out to herd cattle, a high-status occupation, and their dimmer children to school.

Given the demands of the modern world, you might think this unwise. But in a way it makes sense. In a meritocratic society such as South Korea, education brings rewards. An engineering degree means a good job.

But in Kenya, those with the power to hire tend to employ members of their own tribe, no matter how lazy or incompetent they may be. So the pay-off from diligent study is less certain; the country has legions of jobless graduates. Korea has tribal problems too. Those from the south-western region of Cholla suffered serious discrimination until quite recently. But there was nothing on the scale taken for granted in Kenya.

The country's first president, Jomo Kenyatta, was from the Kikuyu tribe, who remember him as the father of the nation. Others remember him as the man who gave all the plum jobs to Kikuyus.

Under his successor, Daniel arap Moi, the tables were turned. His Kalenjin tribe were first in line to put their fingers in the public till.

The man who ousted Moi in the elections of 2002, Mwai Kibaki, promised to end the corruption culture. At first he delivered, sacking half the judiciary and warning police to stop robbing motorists.

But then Mr Kibaki grew sick and the Kikuyu cabal around him set about looting the country unchecked. The symbolic end to the anti-corruption drive was when the widely respected anti-corruption minister, John Githongo, fled to London in February, fearing for his life.

Even before then, traders in Nairobi's biggest slum market were telling me that the main reason business was bad was that the police kept confiscating their stock and demanding bribes to give it back.

The difference between the two countries is mostly attributable to politics. Kenya's rulers are parasitic. They enter politics to get rich and care little about the little people.

South Korean governments, though far from perfect, have consistently made economic growth their top priority.

If you doubt that politics matters, consider the case of North Korea. Only half a century ago it was culturally identical to the South - and slightly richer.

After two generations of homicidal Marxism, it is probably as poor as Kenya, although no one really knows because publishing honest statistics there can put you in a prison camp.
 
Nadhani hapa tatizo sio alichokisema maana hilo linawezekana kwa mujibu wa mahesabu......tatizo lipo kwa aliyesema ukweli huo!!!
 
Ila kwa 7bu odinga ni rafiki wa magufuli atafundishwa jinsi ya kuiweka katiba kwenye trash bin ili awashughulikie kama Job ndugai

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Tatizo liko kila mahali...mbona una panga impeachment ya mtu bila hata kuongoja aandikwe kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sammuel999 hiyo ni sawa lakini African politics is not rational...Kile Uhuru amesema kimefunua tatizo letu waafrika. impeachment iko endapo rais atafanya kosa kazini sasa kufikiria impeachment hata uchaguzi bado ni kudharau ama kuwatishia wananchi wa Kenya.

Kenya msirudi nyuma tuliko sisi ki-demokrasia
 
6cfdd12f8b79221226dbe67096bd5127.jpg
Rais wa Uhuru Kenyatta amesema hata kama Kiongozi wa Muungano wa Upinzani NASA nchini Kenya, Raila Odinga atashinda uchaguzi wa marudio, atamuondoa madarakani kwani chama chake kina idadi kubwa ya wabunge.

"Hata (Raila) akichaguliwa, we have the opportunity in Parliament, within two or three months tutamtoa".

"So, sisi twaogopa tu Mwenyezi Mungu, na tunamshukuru yale ametutendea na tuko tayari kurudi kwenye uchaguzi, na tuko na haki ya kwamba Wakenya wale wale waliotupatia kura yao, ndio tena watatupatia yao".

"Na yangu ni kuwauliza kwa heshima kuu, kukubali kuingia mashinani tulete Wakenya pamoja na ndio tuweze kusongesha maendeleo ya taifa letu pamoja".


Chanzo: NTV Kenya
 
Sammuel999 But I thought he won!? Why is he worried about justifying his win a second time?...This is giving me bad vibes...Both sides need to calm down now...getting way too nasty...Praying for Kenya..
 
Sammuel999 But I thought he won!? Why is he worried about justifying his win a second time?...This is giving me bad vibes...Both sides need to calm down now...getting way too nasty...Praying for Kenya..
if he won fair and square then he should not be worrying abt losing to Odinga and thus threatening to impeach him...this guy is losing it slowly...i had so much respect for him last week but after calling Maraga a crook and now this?...we love you sir but plz respect othr ppl and constitutionally-mandated institutions like the supreme court...
 
Back
Top Bottom