Uhuru Kenyatta: Raila Odinga akishinda uchaguzi tutamuondoa ndani ya miezi mitatu tu

Uhuru Kenyatta: Raila Odinga akishinda uchaguzi tutamuondoa ndani ya miezi mitatu tu

Kenyatta anaongea ukweli mtupu.. sasa kama ameshinda na Nasa wakaenda mahakamani na majaji wakasema uchaguzi urudiwe na yeye amekubali kwa sababu ya kuheshimu mahakama na katiba ya nchi . Ni vipi na yeye akishindwa akatumia katiba hiyo hiyo kwa wingi wa wabunge wake kumvulusha Raila? Ukweli kurudia uchaguz ni upuuz na upotezaji muda na pesa ..tz CCM walisema watashinda hata kwa bao la mkono na yakatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna videos hapo juu angalia


Sent using Jamii Forums mobile app

Siwezi kuangalia video sasa but I take it there is video evidence on this.

Uhuru had a real chance of showing the world a new kind of African leadership by putting aside his ego and not acting based on the expectations of his core base.

But it looks like he is squandering it by the day.

I wrote earlier here that the real problem in Kenya is tribalism.

Not the Luo vs Kikuyu kind of tribalism.

But the "politically connected" vs "merit based leadership" type of tribalism.

I wrote that neither Uhuru nor Raila is the best Kenya has to offer, they did not get where they are by merit, they got there by nepotism.

They are of the same tribe, the tribe of the "politically connected".

These statements show that. Uhuru is squandering such a big capital in terms of good governance standing,he was initially hailed very positively for allowing the legal and democratic processes to play its part.

Now he looks like any other power hungry African leader who will do anything to stay in power.
 
Hahahaa....he actually said it.

Take a look.



I'm starting to get convinced he didn't win. Not only in 2017 but also in 2013.

Ever since the election results were nullified he has been saying crazy things.

It makes you wonder.....

Nepotism is a big problem, it gives you presidents who give flowery prepared speeches, but who are hopelessly irredeemable when giving off the cuff remarks.

Both Raila and Uhuru are products of nepotism.Kenya is fvcked either way.
 
Wakenya wakataeni viongozi wakabila . Siku mkikubali kuacha mambo yenu hayo ya ukabila mkamchagua kiongoz si kutoka kwenye kabika la Raila , Uhuru au Ruto basi mtakuwa mmetusua.. inavyoonesha Uhuru huyo hana shida sana ya madalaka ila tatizo ni kumwachia kiti Raila tena ni kwa sbb zake binafsi. basi nanji wakenya mlivyo wapuuz mnacheza ngoma zao miaka nenda miaka rudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekusikia rais hatutokubali kamwe kuharibu karatasi za kura bure! Uhuruto tano tena, tena!
 
ndiyo demokrasia anayosifiwa kuwa nayo!
Kama lile jambo linafanyika kisheria sasa iweje tena sio demokrasia? Si juzi juzi tu AK walijaribu kumtoa mamlakani yule Jacob Zuma kutumia ile njia pia?
 
huwezi ukam impeach mtu asiye na kosa lolote....itakuaje rais amekosa sana mpaka awe impeached in just two months?..hata mwaka hautoshi...huyu aseme tu anaogopa uchaguzi...pengine anajua aliiba...voters ni wale wale tu...kama alishinda kihalali kwa mara ya kwanza, basi asubiri ushindi tena...voters hawabadilishi akili zao kama kinyonga especially hapa kenya...
Hauhitaji kosa lolote ku-impeach kiongozi .A vote of no confidence is just that and it requires no wrongdoing na hata wakitaka kutafuta kijisababu watapata tu.Remember this man man had a whole election overturned yet he didn't have a solid reason so how do you defend that?
 
You're exaggerating....nimefuatilia speech yake na hamna mahali amesema wataimpeach raila akishinda..amesema it will be hard for odinga to rule kama atashinda because of the jubilee numbers which will be easier for them to impeach him immediately....surely???

Sent using Jamii Forums mobile app

Nafikiri hujui kiswahili.
 
Sigara kubwa na Bapa haviachi mtu salama.
 
Rais Uhuru Kenyatta amesema ikiwa Raila Odinga atashinda uchaguzi wa marudio, Jubilee watatumia wingi wao bungeni kumshtaki na kumng’oa katika muda wa miezi mitatu tu.
Uhuru na Makamu wake William Ruto walisema wanajivunia idadi kubwa ya wabunge walionao. Wawili hao ndio watapambana na wagombea wa muungano wa Nasa Raila (ODM) na Kalonzo Musyoka (Wiper) katika uchaguzi wa marudio uliopangwa Oktoba 17.
"Hakuna haja ya kuogopa hata akichaguliwa. Tuna idadi kubwa ya wabunge na tutamtoa Ikulu katika muda wa miezi mitatu,” alisema Uhuru.
Akizungumza Ikulu leo Jumatatu, Rais amesisitiza kwamba wana idadi kubwa ya wabunge na maseneta hivyo wanaweza kutumia wingi wao huo wakati wowote wakiona inafaa.
"Hakuna kitu cha kuhofia. Leo hii hata Raila akichaguliwa atatawala Kenya kwa njia gani. Jubilee inaweza kukamilisha biashara hata asipokuwepo seneta wa Nasa...hatuwahitaji."
Muungano wa chama tawala pamoja na vyama rafiki una jumla ya wabunge 193 katika Bunge la watu 349 na wawakilishi wanawake.
Kubadili Katiba
Kutokana na wingi huo, Uhuru amesema wanaweza hata kubadili Katiba bila mchango wa upinzani.
"Katika Bunge la Taifa, tuna upungufu wa wabunge 13 tu, hii ina maana tunaweza hata kubadili katiba bila wao. Atafanya nini huyu? Atafanya nini?" aliuliza.
Uzinduzi wa Bunge
Kuhusu kikao cha kwanza cha Bunge kesho Uhuru amesema kitafanyika hata kama wawakilishi wa Nasa hawatahudhuria.
Wabunge wa Nasa wamesema “watagoma” kuhudhuria uzinduzi wa Bunge litakalohutubiwa na Rais Uhuru.
Kiongozi wa walio wachache bungeni Opiyo Wandayi amesema hawawezi kumsikiliza Rais asiye na mamlaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom