'yeye (Raila) kila siku anasema anaibiwa kura tu, hii ni mara ya tatu sasa anasema anaibiwa, sasa ma yeye si aibe' in Uk's voice.huwezi ukam impeach mtu asiye na kosa lolote....itakuaje rais amekosa sana mpaka awe impeached in just two months?..hata mwaka hautoshi...huyu aseme tu anaogopa uchaguzi...pengine anajua aliiba...voters ni wale wale tu...kama alishinda kihalali kwa mara ya kwanza, basi asubiri ushindi tena...voters hawabadilishi akili zao kama kinyonga especially hapa kenya...
Sent using Jamii Forums mobile app