Nani kakuambia Dubai wameendelea kwa kuruhusu watu kwenda kuishi huko?, waliyoiendeleza Dubai ni wawekezaji(investors), sio wahamiaji, nchi zote zina sera za uwekezaji zenye lengo la kuvutia mitaji, katika EAC, Tanzania inaongoza kwa kupokea mitaji yenye thamani zaidi ya $2.2B, ikifuatiwa na Uganda kwa mbali sana $1.1B, Kenya$9B. Alichokifanya Uhuru Kenyatta ni kuongeza idadi ya watu wanaotaka kukaa Kenya, haina maana ya wawekezajiSisi Watanzania tunasifia miji ya wenzetu, ukiwasikia Watanzania wanavyoiongelea Dubai utadhani wawekezaji wametoka mbiguni, sivyo ni sera rafiki kama anavyoeleza Kenyata anaupana wa mambo, maendeleo yoyote ya mwanadamu ya nahitaji maingiliano,
And fortunately I do not force you to think like me, this is a free forum does not give or prohibit diversity in thoughtless you got to improve or get improved way of thinking and that goes with the forums sloganUsifikiri kama chura wewe
Maelezo yako ni sawa na kusema kampuni ya ndege ya Boieng kule USA imeruhusu kila mtu aweze kwenda kununua ndege kadri awezavyo kwa sababu ndege wanazo kwa mwenye pesa.KENYA ARDHI IPO TELE TENA KUBWA KWELI,ISPOKUWA UWE NA NGUVU YA KIFEDHA UA KUKNUNUA NA UTAKAPOINUNUA NI YAKO MILELE TEMBELEENI WAVUTI ZAO MBALIMBALI
"msee" tunajua wewe ni mkenya na unampenda sana uhuru Kenyatta.Ndugu ardhi tena pamoja na title deed ipo inauzwa Kenya siku zote. Fedha yako tu. Propaganda za kijinga vidi ya Kenya zinagandisha akili ya Watanzania wengi.
tuki sema viongozi wa afrika wana mapungufu ndo kama hayo uliyo yasema.kenya ina lenga tanzania kwa njia hii kuweza kupata nafasi zaidi ya kiuchumi mfano utalii,biashara n.k tokea mda hata katika vikao EAC ukiwa mfatiliaji sana kenya ndiye analazimisha sana kuwa na mwingiliano usio kuwa na masharti ili mradi kwa manufaa yake.Hahahaa hicho kipengele kilimlenga Magufuli sadly he quit, inakuwaje Kenya itoe ardhi kwa wanaafrika Mashariki wakati wenyewe hawana mpaka wanakuja kuvamia hifadhi zetu?
No way msidhani kwa kufanya hivyo Tanzania itaiga never that will never happen Tanzania is for Tanzanians no free land for Kenyans
/ sioni tatizo hapo,Maelezo yako ni sawa na kusema kampuni ya ndege ya Boieng kule USA imeruhusu kila mtu aweze kwenda kununua ndege kadri awezavyo kwa sababu ndege wanazo kwa mwenye pesa.
The thing is we don't want you Kenyans , because of your thievery and annoying behaviour,tanzania is full of people with very small minds. Uhuru's statement is very clear that what he has ordered will not be done on the basis of reciprocity, please comprehend that before muanze kutapa tapa!
Hatuwezi kushirikiana na nyie wakenya kwenye Ardhi,naona mme kereka kwa hilo jambo sana! as Kenyans, we do not expect RECIPROCITY! and not from danganyika anyway.
kawaulize wachaga waliojaa gikomba market ama wale omba omba waliojaa barabarani Nairobi.The thing is we don't want you Kenyans , because of your thievery and annoying behaviour,
We don't need your corrupt genes into our Lands,
Kaeni na mtulie kwenu with your bandit economy,
Hakuna hata mtanzania mmoja anaetamani kuja kutafuta maisha Kenya, kwani Kenya maisha ni magumu Mara dufu ya Tanzania.
What part of reprocity dint you get? Very pessimist guyzHahahaa hicho kipengele kilimlenga Magufuli sadly he quit, inakuwaje Kenya itoe ardhi kwa wanaafrika Mashariki wakati wenyewe hawana mpaka wanakuja kuvamia hifadhi zetu?
No way msidhani kwa kufanya hivyo Tanzania itaiga never that will never happen Tanzania is for Tanzanians no free land for Kenyans
Mtu kama wewe unafaa ubaki huko huko Kenya, unajua maana ya mteja?.. mteja ni mtu anayependa kununua na mwenye uwezo wa kununua bidhaa husika, sasa kama kila mtu anapenda kuwa na ndege yake lakini hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kununua, hilo kampuni la kutengeneza ndege lazima litakufa, hapo kutakuwa hakuna accessibility ya hiyo bidhaa kwa wananchi./ sioni tatizo hapo,
Kama unazo fedha ruksa kununua ndege yako.wanazo nyingi.
[HASHTAG]#kila[/HASHTAG] kitu kinategemea uwezo wa kununua,kama kama uwezo haupo tulia maana hata kununua Viatu ni uwezo pia.
Ww jamaa utakuwa unaishi Kisarawe Dar na hujawahi kutoka nje ya dar, nenda saiti kijanaHiyo ardhi ya kumiliki Kenya itatoka wapi! Hii ina sound well kwa wasioweza kufikiria kwa ukamilifu!!
Kama Sijakuelewa hapa, umemaanisha Kenya wana ardhi kubwa ya ziada, kuweza kuwauzia wananchi wengine wa mataifa mengine au? Kama ndivyo, na kiuchumi Kenya iko "ulimwengu wa pili" kivipi hukohuko kuwe na landless communities?Ukiwa na pesa yako tu unanunua ardhi Kenya na ipo ya kutosha.
ana maanisha kenya hakuna hiyo ardhi ya mgeni kuchukua kwa hiyo anapromote bidhaa isiyokuwepo kwenye shelves dukani.Pessimism is never viable. Wenye uwezo wataenda kama huna uwezo wa kuwekeza kenya tulia tu upambane na hali yako