Uhuru Kenyatta: Ruksa Watanzania kumiliki ardhi, kufanya kazi, kuishi, kuwekeza na kuhamia Kenya bila masharti

Uhuru Kenyatta: Ruksa Watanzania kumiliki ardhi, kufanya kazi, kuishi, kuwekeza na kuhamia Kenya bila masharti

Sisi Watanzania tunasifia miji ya wenzetu, ukiwasikia Watanzania wanavyoiongelea Dubai utadhani wawekezaji wametoka mbiguni, sivyo ni sera rafiki kama anavyoeleza Kenyata anaupana wa mambo, maendeleo yoyote ya mwanadamu ya nahitaji maingiliano,
Nani kakuambia Dubai wameendelea kwa kuruhusu watu kwenda kuishi huko?, waliyoiendeleza Dubai ni wawekezaji(investors), sio wahamiaji, nchi zote zina sera za uwekezaji zenye lengo la kuvutia mitaji, katika EAC, Tanzania inaongoza kwa kupokea mitaji yenye thamani zaidi ya $2.2B, ikifuatiwa na Uganda kwa mbali sana $1.1B, Kenya$9B. Alichokifanya Uhuru Kenyatta ni kuongeza idadi ya watu wanaotaka kukaa Kenya, haina maana ya wawekezaji
 
Usifikiri kama chura wewe
And fortunately I do not force you to think like me, this is a free forum does not give or prohibit diversity in thoughtless you got to improve or get improved way of thinking and that goes with the forums slogan
 
KENYA ARDHI IPO TELE TENA KUBWA KWELI,ISPOKUWA UWE NA NGUVU YA KIFEDHA UA KUKNUNUA NA UTAKAPOINUNUA NI YAKO MILELE TEMBELEENI WAVUTI ZAO MBALIMBALI
Maelezo yako ni sawa na kusema kampuni ya ndege ya Boieng kule USA imeruhusu kila mtu aweze kwenda kununua ndege kadri awezavyo kwa sababu ndege wanazo kwa mwenye pesa.
 
Vitu vingine pamoja kuwa vimeruhusiwa lakini kiuhalisia haviwezi fanyika kutokana na strong mentality ya tribalism na kama imewashinda kwa wao kwa wao je kwa wananchi wa nchi nyingine watawezaje ni kauli za kisiasa tu
 
naona mme kereka kwa hilo jambo sana! as Kenyans, we do not expect RECIPROCITY! and not from danganyika anyway.
 
Aise ile plan yangu ya kwenda Zimbabwe naghairi naenda zangu Nai
 
Ndugu ardhi tena pamoja na title deed ipo inauzwa Kenya siku zote. Fedha yako tu. Propaganda za kijinga vidi ya Kenya zinagandisha akili ya Watanzania wengi.
"msee" tunajua wewe ni mkenya na unampenda sana uhuru Kenyatta.

katika issue ya uhaba hakuna propaganda yoyote inayofanywa na watz dhidi ya kenya bali tunasimamia ukweli.

hakuna mtz anayeandika articles zinazozungumzia uhaba wa ardhi kwenye mitandao mbalimbali, article zote zinaandikwa na wakenya,sisi ni wasomaji tu.

enaeleweka kwamba ardhi kubwa nchini kenya inamilikiwa na kikundi kidogo cha elite na settlers.

huu ni mfano mdogo...hizi ni screenshot zinazotaja ranches zinazomilikiwa na wazungu nchini kenya.
89cb9033febad6b08560aae3513d2511.jpg
b62ed5ce4f6fecea0c8cc5a60de02ad2.jpg
38468aadf1b69d482f9493d43f140fc2.jpg
8ca31cefb208988fc739cc3bdfb31e8e.jpg
344116d55d97e096c3e5bdaeabb424d9.jpg
e7781cf56d264e9252898b2b336389ad.jpg
fbb3002fe9957ddf2e54e464f2aedc3e.jpg
935815e59e1aa71620ad1392ba2b1e1a.jpg
e7bab205748956f9d221ab5e24ad180a.jpg
7fcfd4cbe4d38d93cc2fff43c9f6d3ec.jpg
a46bc865bb1cad817671794187b7d7a4.jpg
f4d5e83b49ef1caf791391c35482508c.jpg
6388ff53ea98bd23d523669734dd9fed.jpg
 
Hahahaa hicho kipengele kilimlenga Magufuli sadly he quit, inakuwaje Kenya itoe ardhi kwa wanaafrika Mashariki wakati wenyewe hawana mpaka wanakuja kuvamia hifadhi zetu?

No way msidhani kwa kufanya hivyo Tanzania itaiga never that will never happen Tanzania is for Tanzanians no free land for Kenyans
tuki sema viongozi wa afrika wana mapungufu ndo kama hayo uliyo yasema.kenya ina lenga tanzania kwa njia hii kuweza kupata nafasi zaidi ya kiuchumi mfano utalii,biashara n.k tokea mda hata katika vikao EAC ukiwa mfatiliaji sana kenya ndiye analazimisha sana kuwa na mwingiliano usio kuwa na masharti ili mradi kwa manufaa yake.
 
Maelezo yako ni sawa na kusema kampuni ya ndege ya Boieng kule USA imeruhusu kila mtu aweze kwenda kununua ndege kadri awezavyo kwa sababu ndege wanazo kwa mwenye pesa.
/ sioni tatizo hapo,
Kama unazo fedha ruksa kununua ndege yako.wanazo nyingi.
[HASHTAG]#kila[/HASHTAG] kitu kinategemea uwezo wa kununua,kama kama uwezo haupo tulia maana hata kununua Viatu ni uwezo pia.
 
tanzania is full of people with very small minds. Uhuru's statement is very clear that what he has ordered will not be done on the basis of reciprocity, please comprehend that before muanze kutapa tapa!
The thing is we don't want you Kenyans , because of your thievery and annoying behaviour,
We don't need your corrupt genes into our Lands,
Kaeni na mtulie kwenu with your bandit economy,
Hakuna hata mtanzania mmoja anaetamani kuja kutafuta maisha Kenya, kwani Kenya maisha ni magumu Mara dufu ya Tanzania.
 
The thing is we don't want you Kenyans , because of your thievery and annoying behaviour,
We don't need your corrupt genes into our Lands,
Kaeni na mtulie kwenu with your bandit economy,
Hakuna hata mtanzania mmoja anaetamani kuja kutafuta maisha Kenya, kwani Kenya maisha ni magumu Mara dufu ya Tanzania.
kawaulize wachaga waliojaa gikomba market ama wale omba omba waliojaa barabarani Nairobi.
 
Hahahaa hicho kipengele kilimlenga Magufuli sadly he quit, inakuwaje Kenya itoe ardhi kwa wanaafrika Mashariki wakati wenyewe hawana mpaka wanakuja kuvamia hifadhi zetu?

No way msidhani kwa kufanya hivyo Tanzania itaiga never that will never happen Tanzania is for Tanzanians no free land for Kenyans
What part of reprocity dint you get? Very pessimist guyz
 
/ sioni tatizo hapo,
Kama unazo fedha ruksa kununua ndege yako.wanazo nyingi.
[HASHTAG]#kila[/HASHTAG] kitu kinategemea uwezo wa kununua,kama kama uwezo haupo tulia maana hata kununua Viatu ni uwezo pia.
Mtu kama wewe unafaa ubaki huko huko Kenya, unajua maana ya mteja?.. mteja ni mtu anayependa kununua na mwenye uwezo wa kununua bidhaa husika, sasa kama kila mtu anapenda kuwa na ndege yake lakini hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kununua, hilo kampuni la kutengeneza ndege lazima litakufa, hapo kutakuwa hakuna accessibility ya hiyo bidhaa kwa wananchi.

Ardhi ya Kenya haipo accessible kwa wananchi wa kawaida, ni sawa na kufungua kiwanda cha kutengeneza ndege hapa East Afrika then tukajisifia kwamba tumewasogezea karibu upatikanaji wa ndege hapa hapa EA, hakuna haja ya kwenda Europe au USA.
 
Hiyo ardhi ya kumiliki Kenya itatoka wapi! Hii ina sound well kwa wasioweza kufikiria kwa ukamilifu!!
Ww jamaa utakuwa unaishi Kisarawe Dar na hujawahi kutoka nje ya dar, nenda saiti kijana

Kuna watanzania wengi sana wanamiliki ardhi nchini kenya, ana Wapo Watanzania wengi sana wamekodi mashamba nchini Kenya kwaajili cha Mahindi na Maharange

Vichwa vyenu sijui vipoje, wakenya wengi sana hasa wakamba ni wavivu kulima na yale mashamba yao wamewauzia Watanzania na mengine wameyakodisha kwa Watanzania......

Tembeeni
 
Ukiwa na pesa yako tu unanunua ardhi Kenya na ipo ya kutosha.
Kama Sijakuelewa hapa, umemaanisha Kenya wana ardhi kubwa ya ziada, kuweza kuwauzia wananchi wengine wa mataifa mengine au? Kama ndivyo, na kiuchumi Kenya iko "ulimwengu wa pili" kivipi hukohuko kuwe na landless communities?

Kiuchumi wako safi, ardhi ipo ya ziada, Kwanini hili kundi liwepo? NB: Tanzania hakuna kundi kama hilo.
 
Pessimism is never viable. Wenye uwezo wataenda kama huna uwezo wa kuwekeza kenya tulia tu upambane na hali yako
ana maanisha kenya hakuna hiyo ardhi ya mgeni kuchukua kwa hiyo anapromote bidhaa isiyokuwepo kwenye shelves dukani.
tutakuja kuwaoa hao mabint na dada zetu waolewe tu huko baasi!
 
Back
Top Bottom