Uhuru Kenyatta: Serikali nyingi Afrika zinajiendesha kwa kukomoa matajiri

Msijifungie milango na kuanza kushusha kipondo kwa watoto wenu, mnajigamba kabisa eti musituingilie tunapiga wakwetu!

Nyambafu wewe chunga sana usijikwae utang'oka kidole.
Hahaha ustaarabu zero. Matusi ya nini sasa leta hoja. Matusi ni dalili ya kukosa hoja.
 
Hii ndio faida ya kuzaliwa na baba mwenye akili, me mwenyewe namlaumu mzee kwa vi acre 300 pale bagamoyo kwa nini hakusomba zaidi. Cha mjinga uliwa na mwelevu.
Ndio maana vita na kuuana kila wakati sababu ya mambo haya. Na huenda ekari zako hizo zikapunguzwa. Kila raia anahaki ya kuishi na kumilki ardhi. Siyo kutumia cheo kuwanyonya wengine. Cheo ni dhamana.
 
MZEE JOMMO KENYATTA ALIKUWA ANATAKA UHURU WA familia yake sio wa Nchi.

Kudadeki zake
 
Hahaha ustaarabu zero. Matusi ya nini sasa leta hoja. Matusi ni dalili ya kukosa hoja.
Kuelewa kwa kenge mpaka damu zimtoke masikioni kwa kipigo.
 
Kuelewa kwa kenge mpaka damu zimtoke masikioni kwa kipigo.
Kenge tena, hapa tunaongelea issue ya uhuru kulaumu nchi zingine badala ya kuongelea nchi yake itapiga vipi hatua.
 
Ndio maana vita na kuuana kila wakati sababu ya mambo haya. Na huenda ekari zako hizo zikapunguzwa. Kila raia anahaki ya kuishi na kumilki ardhi. Siyo kutumia cheo kuwanyonya wengine. Cheo ni dhamana.
Na hakuna raia aliekatazwa kutafuta ekari za mashamba.
 
Kenge tena, hapa tunaongelea issue ya uhuru kulaumu nchi zingine badala ya kuongelea nchi yake itapiga vipi hatua.
Humuelewi Uhuru utanielewa mimi?
Amesema kwa kuwausia wengine pamoja na nafsi yake kuwa marais wasiwachukie matajiri kwani mchango wao kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi na nchi kwa ujumla ni mkubwa na muhimu sana!

Naamini hutajitoa akili tena.
 
hayo ni majungu. na wewe si ukafanye hivyo kama unaona ukifanya hivo unakuwa tajiri. Acheni vivu wa kike. Huwezi kufanya maisha ya maskini kuwa nafuu kwa kuwashusha chini waliokuwa juu.
 
Basi aache kutoa mifano kuwa nchi zingine za kiafrica zinakandamiza matajiri. Aanze na mambo ya nchi yake. Kwanini yeye anakandamiza raia kwa kuchukua ardhi kubwa kiasi hicho kwa kutumia utajiri wake? Anatakiwa apambane na hali yake.
hajachukua Ardhi,kaikuta tayari inamilikiwa na familia,na kama kuna aliyoongeza ni kwa hela zake hata kama zina background chafu!!
 
Humuelewi Uhuru utanielewa mimi?
Amesema kwa kuwausia wengine pamoja na nafsi yake kuwa marais wasiwachukie matajiri kwani mchango wao kwenye kuleta maendeleo kwa wananchi na nchi kwa ujumla ni mkubwa na muhimu sana!

Naamini hutajitoa akili tena.
Sasa wewe na uhuru nani mwenye akili zaidi? Kwani uhuru siku hizi amekuwa msemaji wa nchi za Africa?
 
Bila shaka unawashangaa wanaodai Lowasa ni fisadi!

Anyway, unapata wapi authority ya kumtuhumu Kenyatta kuwa mkwepa kodi ilhali hajawahi kuthibitishwa na mahakama juu ya ukwepaji huo?
Umenichanganya na aliyezungumzia ukwepaji kodi, hata yeye aliyezungumzia ukwepaji kodi hakumlenga Kenyatta, Kenyatta anashutumiwa kwa kulimbikiza utajiri uliotokana na kupora ardhi kubwa ya wanyonge uliofanywa na baba yake
 
Hii ndio faida ya kuzaliwa na baba mwenye akili, me mwenyewe namlaumu mzee kwa vi acre 300 pale bagamoyo kwa nini hakusomba zaidi. Cha mjinga uliwa na mwelevu.
Hapa kweli unathibitisha kwamba baba yako hakuwa na akili na wewe umerithi kutokuwa na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…