game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Hii ni dharau kubwa sana kwa kiongozi wa nchi.
Yaani rais anafanya ziara taifa lingine anapokelewa na dayaspora? Serious? Serikali ya ubelgiji imeshindwa hata kutuma mkuu wa wilaya ampokee rais wa nchi? Hii haikubaliki
President Uhuru Kenyatta in Belgium for a two-day state visit
https://t.co/yvMy82cYOI