It was an official visit specifically to the EU which is headquartered in Brussels Belgium .He had gone to meet the President of the European Council Charles Michel to discuss Kenya-EU relations and address a Kenya-Belgium business forum.Hii ni dharau kubwa sana kwa kiongozi wa nchi.
Yaani rais anafanya ziara taifa lingine anapokelewa na dayaspora? Serious? Serikali ya ubelgiji imeshindwa hata kutuma mkuu wa wilaya ampokee rais wa nchi? Hii haikubaliki
President Uhuru Kenyatta in Belgium for a two-day state visit
https://t.co/yvMy82cYOI
ni mtoto wa kizungu alifanya hivyo!huku akimuuliza babaake nasikia africa kuna nyani wengi...Duh, hiyo sijawahi isikia
Ulikuwa unangoja apelekwe na nani?Amejipeleka,
So who was his host?
Hata Red carpet hakuna, kapokelewa kama kibakaIt was an official visit specifically to the EU which is headquartered in Brussels Belgium .He had gone to meet the President of the European Council Charles Michel to discuss Kenya-EU relations and address a Kenya-Belgium business forum.