kiamangwana
Senior Member
- Feb 28, 2015
- 175
- 89
Hakika niseme kweli mimi siko upande wako japo mie ni mTZ ninayefikiria kuomba uraia wa kenya lkn ulichofanya kimekufanya uwe mshindi zaidi ya ushindi wa urais,hata ikitokea kura zako zisitoshe fahamu kuwa wewe ni mshindi wa demokrasia.
Amini usiamini huku TZ umekua habari si kwa kunyang'anya ushindi bali ulivyoweza kuiacha mahakama(majaji) na dola(polisi)ifanye kazi yake bila (maagizo toka juu)hakika wewe ndiye mshindi,huku kwetu duh hata jaji mkuu hakuna aliyepo anakaimu,na bado anaambiwa mimi ndiye nikulipaye mshahara,yaani yanayotokea kenya huku kwetu ni ndoto,hongera baba muigai hata usipotoboa lkn umeikomboa demokras afrika,,
Sent using Jamii Forums mobile app