Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kibaravumba hujui usemacho. Huwezi kulinganisha maisha ya mwananchi wa kawaida wa Kenya na ya mtanzania. Ile ni jehanamu ndiyo maana wanakimbilia kwetu.
Kwa nini Watz wanapenda kuwaita majina mabaya viongozi wa nchi nyingine?pili pili usiyoila inakuwashia nini?Wewe ni mtanzania unamiliki ardhi kiasi gani?inakusaidiaje hii usiyoimiliki?Je unajua maisha ya kenya ni bora zaidi kuliko yetu wa tz?wao wamekuwa wakiwalipa wazee kwa mwezi,wamekuwa na sera ya kuwapa maziwa watoto(wanafunzi)wa nyayo,wameamua kutoa laptops kwa wanafunzi,wanachukua nafasi nyingi za ajira nje ya nchi,wanafanya vema kimataifa katika michezo,wanautamaduni wa kuchangiana katika masuala ya elimu na matibabu na siyo arusi na misiba kama ilivyo kwetu!na mengine mengi kutaja...!Mnawatakia niniii?!!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
