Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Superdeep eeh? Acha NASA wapige kelele kabisaa, wataisha tena na tena kama tu tule tubatari twekundu , sisi wanajubilee tutaendelea kuwanyoosha tu, tena na tena! Afu baadaye kazi itaendelea kama tu Duracell!
We ngoja tu, si visababu tu! Hawa jamaa wa NASA lazima watapinga matokeo na lazima watarudi mahakamani! Justice Maraga akiwaona hivi tu atawaamkua, hi bebs! 😀Naomba sana IEBC wailete haya mambo ya sijui text sijui nini. Hawa jamaa hawezi kosa vijisababu vya kulalamika
Baada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real
Let the best man win but in a free and fair election.. Iebc ilisema severs hazikuwa accesed alafu expert alipokam wanashindwa kueleza why password ya chebukati ilitumika kuaccess server in multiple times bila chebukati kujua...do you think watu waliacess iyo server wakati wa practicals za IT wakisoma au?Nyie mnalia hacking na hakuna hata fomu moja ya 34A au 34B ambayo mlionayo kuonesha utofauti wake na zile za IEBC?
Raundi hii tunataka iwe manual tupu ndiposa tuone penye mwapenda kujifichia.
Let the best man win but in a free and fair election.. Iebc ilisema severs hazikuwa accesed alafu expert alipokam wanashindwa kueleza why password ya chebukati ilitumika kuaccess server in multiple times bila chebukati kujua...do you think watu waliacess iyo server wakati wa practicals za IT wakisoma au?
Hiyo ulitoa wapi? Kutoka kwenye ripoti gani?
Hata servers zikuwe zinaonyesha Uhuru ako na 50,000,000, hakuna chochote hapo ila zile forms 34A, 34B. Na ikiwa kuna yeyote aliye na shida basi tufungue ballot boxes. ikiwa kweli we ni mpenda haki, umejiuliza kwanini hatujapa hata form moja iliyotofautiana na zile ambazo zipo na IEBC? Moja tu? Hawa agents was NASA na jubilee si wlikuwa kwenye constituencies?Itakuwaje hawana hata mmoja aliye na fomu tofauti? Ukweli usemwe. Hii si haki.
Ballot boxes zingine ziloliokotwa zimetupwa msituni and you know that...askari wengine walishikwa kwa izo godown za iebc wakitamper na izo ballot boxes.those things are already compromised and in my opinion I would have trusted izo forms kama zingekua signed with all their security features..I don't buy this crap ya kua security feature is not a constitutional requirement..why waste billions then,we can as well use tissue papers kufill in.Hiyo ulitoa wapi? Kutoka kwenye ripoti gani?
Hata servers zikuwe zinaonyesha Uhuru ako na 50,000,000, hakuna chochote hapo ila zile forms 34A, 34B. Na ikiwa kuna yeyote aliye na shida basi tufungue ballot boxes. ikiwa kweli we ni mpenda haki, umejiuliza kwanini hatujapa hata form moja iliyotofautiana na zile ambazo zipo na IEBC? Moja tu? Hawa agents was NASA na jubilee si wlikuwa kwenye constituencies?Itakuwaje hawana hata mmoja aliye na fomu tofauti? Ukweli usemwe. Hii si haki.
Ballot boxes zingine ziloliokotwa zimetupwa msituni and you know that...askari wengine walishikwa kwa izo godown za iebc wakitamper na izo ballot boxes.those things are already compromised and in my opinion I would have trusted izo forms kama zingekua signed with all their security features..I don't buy this crap ya kua security feature is not a constitutional requirement..why waste billions then,we can as well use tissue papers kufill in.
If they had those forms why did they take that long kuziproduce wakati zinahitajika.and kuhusu iyo server nliisikia kwa citizen jana kwa Monday special
Team magu na CCM... Bado mna imani na RAO?? Sasa mtapigwa pigo hamjawahi pigwa kifupi mtanyoloshwa kiASWA this time na mpaka sasa mtaenda the hagueBaada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real
Yap kwa mtu wa NASA...what got me thinking ni kua uyo was jubilee hakupinga na hakujibu.I can't speak authoritatively on that itabidi tungoje final report ya supreme court.back to the forms..my point is those forms might have been doctored cz most of them were fake going by the argument by the lawyers. I can't turn a blind eye on that possibilityUliskia kwa citizen special Mtu wa NASA akisema. I thought ulisoma ripoti ya Judiciary. Hujanijibu swali langu. Kwa hayo malalamishi yote, kwanini NASA hawajaleta form hata 1 inayopingana na zile za IEBC?
My friend we are arguing with points here..hii ya kuropoka bila sababu za msingi ipeleke kule jukwaa la mapenzi au celebrities and if you read my previous comments i have said let the best man win but in a free and fair electionTeam magu na CCM... Bado mna imani na RAO?? Sasa mtapigwa pigo hamjawahi pigwa kifupi mtanyoloshwa kiASWA this time na mpaka sasa mtaenda the hague
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap kwa mtu wa NASA...what got me thinking ni kua uyo was jubilee hakupinga na hakujibu.I can't speak authoritatively on that itabidi tungoje final report ya supreme court.back to the forms..my point is those forms might have been doctored cz most of them were fake going by the argument by the lawyers. I can't turn a blind eye on that possibility