Uhuru Kumnyorosha Raila Kichapo Cha Mwaka

Uhuru Kumnyorosha Raila Kichapo Cha Mwaka

Superdeep eeh? Acha NASA wapige kelele kabisaa, wataisha tena na tena kama tu tule tubatari twekundu , sisi wanajubilee tutaendelea kuwanyoosha tu, tena na tena! Afu baadaye kazi itaendelea kama tu Duracell!
 
Naomba sana IEBC wasilete haya mambo ya sijui text sijui nini. Hawa jamaa hawezi kosa vijisababu vya kulalamika
 
Baada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real
 
Naomba sana IEBC wailete haya mambo ya sijui text sijui nini. Hawa jamaa hawezi kosa vijisababu vya kulalamika
We ngoja tu, si visababu tu! Hawa jamaa wa NASA lazima watapinga matokeo na lazima watarudi mahakamani! Justice Maraga akiwaona hivi tu atawaamkua, hi bebs! 😀
 
Baada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real

Nyie mnalia hacking na hakuna hata fomu moja ya 34A au 34B ambayo mlionayo kuonesha utofauti wake na zile za IEBC?

Raundi hii tunataka iwe manual tupu ndiposa tuone penye mwapenda kujifichia.
 
Nyie mnalia hacking na hakuna hata fomu moja ya 34A au 34B ambayo mlionayo kuonesha utofauti wake na zile za IEBC?

Raundi hii tunataka iwe manual tupu ndiposa tuone penye mwapenda kujifichia.
Let the best man win but in a free and fair election.. Iebc ilisema severs hazikuwa accesed alafu expert alipokam wanashindwa kueleza why password ya chebukati ilitumika kuaccess server in multiple times bila chebukati kujua...do you think watu waliacess iyo server wakati wa practicals za IT wakisoma au?
 
Hiyo ulitoa wapi? Kutoka kwenye ripoti gani?

Hata servers zikuwe zinaonyesha Uhuru ako na 50,000,000, hakuna chochote hapo ila zile forms 34A, 34B. Na ikiwa kuna yeyote aliye na shida basi tufungue ballot boxes. ikiwa kweli we ni mpenda haki, umejiuliza kwanini hatujapa hata form moja iliyotofautiana na zile ambazo zipo na IEBC? Moja tu? Hawa agents was NASA na jubilee si wlikuwa kwenye constituencies?Itakuwaje hawana hata mmoja aliye na fomu tofauti? Ukweli usemwe. Hii si haki.
 
Ballot boxes zingine ziloliokotwa zimetupwa msituni and you know that...askari wengine walishikwa kwa izo godown za iebc wakitamper na izo ballot boxes.those things are already compromised and in my opinion I would have trusted izo forms kama zingekua signed with all their security features..I don't buy this crap ya kua security feature is not a constitutional requirement..why waste billions then,we can as well use tissue papers kufill in.
If they had those forms why did they take that long kuziproduce wakati zinahitajika.and kuhusu iyo server nliisikia kwa citizen jana kwa Monday special
 
Uliskia kwa citizen special Mtu wa NASA akisema. I thought ulisoma ripoti ya Judiciary. Hujanijibu swali langu. Kwa hayo malalamishi yote, kwanini NASA hawajaleta form hata 1 inayopingana na zile za IEBC?
 
Baada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real
Team magu na CCM... Bado mna imani na RAO?? Sasa mtapigwa pigo hamjawahi pigwa kifupi mtanyoloshwa kiASWA this time na mpaka sasa mtaenda the hague

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliskia kwa citizen special Mtu wa NASA akisema. I thought ulisoma ripoti ya Judiciary. Hujanijibu swali langu. Kwa hayo malalamishi yote, kwanini NASA hawajaleta form hata 1 inayopingana na zile za IEBC?
Yap kwa mtu wa NASA...what got me thinking ni kua uyo was jubilee hakupinga na hakujibu.I can't speak authoritatively on that itabidi tungoje final report ya supreme court.back to the forms..my point is those forms might have been doctored cz most of them were fake going by the argument by the lawyers. I can't turn a blind eye on that possibility
 
Team magu na CCM... Bado mna imani na RAO?? Sasa mtapigwa pigo hamjawahi pigwa kifupi mtanyoloshwa kiASWA this time na mpaka sasa mtaenda the hague

Sent using Jamii Forums mobile app
My friend we are arguing with points here..hii ya kuropoka bila sababu za msingi ipeleke kule jukwaa la mapenzi au celebrities and if you read my previous comments i have said let the best man win but in a free and fair election
 
.., naendelea kufuatilia siasa ya Kenya kwa ukaribu, siasa yao tamu sana.., ni mapambano kati ya wanasiasa na sio dola na wanasiasa..

.., naona UHURUTO 'wamepaniki'.., nimesikiliza hotuba ya Uhuru Kenyatta, William Rutto na Aden Duale wakiwa state house wakiongea na MCAs na governors.., wanapaswa sasa kutulia, wanaweza kuwa 'outshined'.., wanakuwa provoked na wameruhusu hasira ziendeshe kauli zao.., wanapaswa kutuliza munkari..

Mfano, Esther Passaris ( Nairobi woman representative) kutoka Kenya National Congress (KNC), anatumia nguvu kidogo kum'provoke Aden Bare Duale (Garissa town MP) na Duale anakasirika na kujibu kwa ghadabu.., fuatilia Twitter account ya Aden Bare Duale na Esther Passaris utaona moto ulivyowaka..

Mtifuano wa Aden Duale na Esther Passaris umeanza baada ya Raila Odinga (NASA chief principal) kusema IEBC hii haiwezi kuendesha tena uchaguzi mwingine baada ya awali kuwa nullified.. Duale akasema "kama kweli Raila ni mwanaume, aje awatoe IEBC".. hapo Esther Passaris akanunua ugomvi.., huyu Esther Passaris anatoka ODM..

Moto unazidi kuwaka.., NASA walikuwa Mathare pale Huruma stadium wanasema WAFULA CHEBUKAT (chairman wa IEBC) anapaswa kumfuta kazi CEO wa IEBC Ezra Chiloba.., wanamtuhumu kwa kuwahujumu kwenye uchaguzi mkuu ambao ulifutwa na mahakama ya juu nchini humo.

Mbunge wa Embakasi-East (ODM), Paul Ongili Owino (Babu Owino) anasema kwamba wametoa siku 5 tu kwa Ezra Chiloba kuondoka ofisi za IEBC na asipofanya hivyo watakwenda kumuondoa ofisini kwa nguvu.., wallahi, vumbi itaruka.., Duale anasema hatoki mtu.., Owino anasema anatoka.. Kazi ipo!

Huyu Babu Owino ana balaa, wakati wa kuapisha wabunge alifanya balaa.. Alitakiwa kuapa zaidi ya mara 3., aliapa na kupachika jina la "Raila Amolo Odinga" kwenye kiapo na neno "Tibiim" kwenye hotuba yake, kila baada ya paragraph kulikuwa na neno "Mr Speaker, Tiaaaalala"..

.., ananifurahisha sana huyu kiumbe (Babu Owino) .., hii pia iliwahi kutokea mwaka 2007 aliyekuwa Mbunge wa Budalang'i, Ababu Namwamba aliwahi kufanya hivyo.. (kuapa kwa jina la RAO na sio official president of Kenya wakati huo, Mwai Kibaki)

NASA wana madai yao.., wanasema hawatakwenda kwenye uchaguzi kama madai yao hayatashughulikiwa.., wanataka mfumo wa kielektroniki wa kupokea matokeo upitiwe upya, wanataka wagombea wote wa awali wagombee, na wanataka baadhi ya watumishi wa IEBC waondoshwe kwenye tume huru ya uchaguzi na mipaka..

Utakumbuka kwamba, uchaguzi uliotajwa kufanyika oktoba 17, 2017 ulitakiwa kuhusisha wagombea wawili pekee wa NASA na JUBILEE, hatua ambayo inapingwa na NASA, na wanasema wote waliogombea awali waruhusiwe kugombea tena.., NASA wametishia kutoshiriki uchaguzi huo kama hawatasikilizwa..

Jubilee kwa upande wao wanasema uchaguzi chini ya IEBC hauna shida na wanasema wako tayari kwa uchaguzi.. NASA wa wao hawakushauriana na IEBC kuhusu kuafikiana tarehe ya uchaguzi.. Wanasema IEBC walishauriana na Jubilee tu.., NASA wao wanataka uchaguzi ufanyike kati ya 24 au 31 Oktoba..

Hivyo kwa jicho langu, kampeni hizi zitakuwa na balaa kubwa, timu ya NASA ambayo sasa inaweza kuwa 'threat' kubadili sana kwa Jubilee.., nimemsikia Gavana wa Mombasa, Ally Hassan Joho (ODM) akisema wanaunda timu ya Moto sana ya kampeni wakati huu kwa sababu wabunge, gavana na watu wote hawatakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kampeni.., moto utawaka

Nimefuatilia nini maana ya "TIBIIM" na "TIALALA".., wataalam wanasema Tibiim kwenye siasa ni 'mapinduzi ya kisiasa' na kwenye maombi ukimaliza kwa neno hilo 'shetani popote alipo anatoka mbio' [emoji23]

Jubilee wana watu wa moto pia, 'mdosi' mwenyewe Uhuru Kenyatta, William Rutto, Johnson Sakaja, Peter Munya, Aden Duale, Justine Muturi, Joyce Laboso, Gideon Moi na wengine.. Moto utawaka.., sio kampeni za kukosa kufuatilia hizi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarime one we jipe burudani na hii movie yetu. Chunga usije ukaegemea upande mmoja na mapepe kama watu wa kubet! Kuna watz humu walidanganyika na team vitendawili, waliposhindwa jamaa karibu wapatwe na mshtuko wa moyo! Sasa hivi tumerudia mechi wanatamani kuhama team, lakini its too late, hamna namna jombaa itabidi wajipeleke kichinjioni live mchana kweupeee. Hehehe!😀
 
Yap kwa mtu wa NASA...what got me thinking ni kua uyo was jubilee hakupinga na hakujibu.I can't speak authoritatively on that itabidi tungoje final report ya supreme court.back to the forms..my point is those forms might have been doctored cz most of them were fake going by the argument by the lawyers. I can't turn a blind eye on that possibility

Yule wa Jubilee hana evidence kuwa kile kinachosemwa hakikufanyika; lakini hiyo haimanishi sasa tumuamini wa nasa. Tunakumbuka vizuri sana walipofake logs za SQL wakati amabapo IEBC inatumia Oracle.

Hata lawyers hukataa wakati ambapo evidence inaletwa ambayo haikuchunguzwa. Hata kama most of them are fake, ulijiuliza kwanini NASA hawakuleta fomu MOJA TU yenye sio fake ili tujue kweli zile za IEBC ni fake? Hilo ndilo swali mpenda haki yeyote lazima ajjiulize.
 
Back
Top Bottom