Uhuru Kumnyorosha Raila Kichapo Cha Mwaka

Nakubaliana na wewe NASA hawakutoa izo fomu na hiyo ni hoja kubwa..ata ivyo nadhani utakubaliana na mmi kua huo mchakato wote was kura haukuwa wa haki kama fomu zilizoletwa ni feki.kwa hio hatuezi kuamini hayo matokeo waliyotupea ndio maana nasema kama Uhuru au raila atashinda basi iwe ushindi wa halali
 
Ule mshtuko utakaowapata supporters wa NASA on the 18th October, bado unakunywa superdeep. Yaani roundi hii ni 70% + 1 . Na huo upuuzi wa electronic transmission hatuutaki tena. Kila mara wanalia hacking.

Hata Uhuru Kenya akishinda kwa 80%, Raila Odinga hawezi kukubali, atarudi Mahakamani aidha ya Maraga au ya Kibera tidim!
 
Baada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real

Subiri uone..hatuwezi kushindwa na watu wasiotahiriwa
 
Ule mshtuko utakaowapata supporters wa NASA on the 18th October, bado unakunywa superdeep. Yaani roundi hii ni 70% + 1 . Na huo upuuzi wa electronic transmission hatuutaki tena. Kila mara wanalia hacking.
[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real

HAHAHA
 
Uhuru amalize tu hii kazi Odinga nae sa hv anaanza kuzingua
 
Mkuu, kwa heshima; ni wapi uliambiwa kuwa fomu ni fake? Ulijulia wapi? Ningependa sana kujua.
 
Ule mshtuko utakaowapata supporters wa NASA on the 18th October, bado unakunywa superdeep. Yaani roundi hii ni 70% + 1 . Na huo upuuzi wa electronic transmission hatuutaki tena. Kila mara wanalia hacking.
hilo linajulikana wazi....yaani hapo jaluo atanyoroshwa asiaminj nini kimemtokea.....hii round uhuru hatataka tena kusifiwa na wazungu zile sifa za kijinga za demokrasia....ni kunyorosha tu ili arudi zake ikulu aendelee kujenga nchi.

kitu inaitwa "democracy" kwa afrika ni maigizo tu....hakuna rais yoyote aliyepo madarani afrika yupo na moyo wa dhati wa kuitelekeza.
 
Baada ya kuhack system na your strongholds kuvote hata wagonjwa,nyanya wazee kubebwa migongoni,mpaka mbwa pia kuvote to their maximum mlimanage 54% so nashangaa hio 70+1 itatokea wapi..let's be real
hivi zile za Nasa 10m+ plus ziliishia wapi vile...
 
Hawa Nasa ma hackers wao walichemka maana hawakua na taarifa servers zingine za IEBC zipo nje ya nchi...wao ni kelele tu mara hiki mara kile...hata mawakala wao kwenye vituo vya kupiga na kuhesabu kura walisign baada ya kuniridhisha na mwenedo wa shughuli...sasa leo wanadai mara kura za Nyamira zilihamishiwa kwa Uhuru..huu ni upuuzi...no wonder Raila na ma principal wenzake ni failures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…