saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,169
- 1,356
Nakubaliana na wewe NASA hawakutoa izo fomu na hiyo ni hoja kubwa..ata ivyo nadhani utakubaliana na mmi kua huo mchakato wote was kura haukuwa wa haki kama fomu zilizoletwa ni feki.kwa hio hatuezi kuamini hayo matokeo waliyotupea ndio maana nasema kama Uhuru au raila atashinda basi iwe ushindi wa halaliYule wa Jubilee hana evidence kuwa kile kinachosemwa hakikufanyika; lakini hiyo haimanishi sasa tumuamini wa nasa. Tunakumbuka vizuri sana walipofake logs za SQL wakati amabapo IEBC inatumia Oracle.
Hata lawyers hukataa wakati ambapo evidence inaletwa ambayo haikuchunguzwa. Hata kama most of them are fake, ulijiuliza kwanini NASA hawakuleta fomu MOJA TU yenye sio fake ili tujue kweli zile za IEBC ni fake? Hilo ndilo swali mpenda haki yeyote lazima ajjiulize.