malisak JF-Expert Member Joined Mar 16, 2006 Posts 694 Reaction score 775 Jul 28, 2010 #21 Meale said: Mhhh! wewe huoni hatari hiyo kwa mjomba wako? Then unampa gharama za bure, aisee kwa hiyo ni heri kuificha username yako! Click to expand... atajijua mwenyewe sikumtuma mimi wala sikumwomba kajipendekeza mwenyewe kwa kiranga chake(payp-la kitunguu swaumu).
Meale said: Mhhh! wewe huoni hatari hiyo kwa mjomba wako? Then unampa gharama za bure, aisee kwa hiyo ni heri kuificha username yako! Click to expand... atajijua mwenyewe sikumtuma mimi wala sikumwomba kajipendekeza mwenyewe kwa kiranga chake(payp-la kitunguu swaumu).
Meale Member Joined Nov 24, 2009 Posts 91 Reaction score 0 Jul 28, 2010 Thread starter #22 malisak said: atajijua mwenyewe sikumtuma mimi wala sikumwomba kajipendekeza mwenyewe kwa kiranga chake(payp-la kitunguu swaumu). Click to expand... lakini kwa kuwa ni mjombako ni bora ungemuonea huruma hasa kwenye kipengele cha vocha.
malisak said: atajijua mwenyewe sikumtuma mimi wala sikumwomba kajipendekeza mwenyewe kwa kiranga chake(payp-la kitunguu swaumu). Click to expand... lakini kwa kuwa ni mjombako ni bora ungemuonea huruma hasa kwenye kipengele cha vocha.
malisak JF-Expert Member Joined Mar 16, 2006 Posts 694 Reaction score 775 Aug 3, 2010 #23 Meale said: lakini kwa kuwa ni mjombako ni bora ungemuonea huruma hasa kwenye kipengele cha vocha. Click to expand... huruma kwani nilimtuma au kumwomba?,ni kishedemuhede chake mwenyewe acha yamkute.
Meale said: lakini kwa kuwa ni mjombako ni bora ungemuonea huruma hasa kwenye kipengele cha vocha. Click to expand... huruma kwani nilimtuma au kumwomba?,ni kishedemuhede chake mwenyewe acha yamkute.