Uhuru kwa mpenzi.

Uhuru kwa mpenzi.

Mhhh! wewe huoni hatari hiyo kwa mjomba wako? Then unampa gharama za bure, aisee kwa hiyo ni heri kuificha username yako!

atajijua mwenyewe sikumtuma mimi wala sikumwomba kajipendekeza mwenyewe kwa kiranga chake(payp-la kitunguu swaumu).
 
atajijua mwenyewe sikumtuma mimi wala sikumwomba kajipendekeza mwenyewe kwa kiranga chake(payp-la kitunguu swaumu).

lakini kwa kuwa ni mjombako ni bora ungemuonea huruma hasa kwenye kipengele cha vocha.
 
lakini kwa kuwa ni mjombako ni bora ungemuonea huruma hasa kwenye kipengele cha vocha.

huruma kwani nilimtuma au kumwomba?,ni kishedemuhede chake mwenyewe acha yamkute.
 
Back
Top Bottom