Uhuru likes bananas

Uhuru kila siku anataka kua kama JPM mpaka anaboa
Aaah wapi bana. Utawala wa Jiwe ni wa juzi juzi tu, rais U.K hajalewa na madaraka. Yeye mwenyewe anajua akigawa mapapai wakenya watampa za usoni, tena live. Hapana cheza na Nyang'au, hatupendi nonsense! 😎
 
Hahaa! [emoji1] Rais U.K ajifunze kutoka kwa dikteta? No, thank you!
Unataka Rais anaechekacheka hovyo kama uhuru aliwachekea hovyo majaji wakawaingiza kwenye tragedy ya double election? Kama wakenya hamjui ile mahali mliangukia ni pale Rais wenu alishindwa namna ya kusimama kama Rais akakubali election mpya na mlifanya elections zote kwa mkopo and they were expensive elections in the world pale ndio mlipoanza kua failed and broke state.

Sio JPM.
 
Vijana wa Lumumba buana. Yaani wewe hapo unajua kwamba Jiwe ni mungu? Urais na katiba ni ipi ina nguvu zaidi ya lingine? Hamna jipya hapo, mnayoyapitia tuliyaona yote kwa miaka 24 chini ya utawala wa dikteta Daniel Arap Moi.
 
Vijana wa Lumumba buana. Yaani wewe hapo unajua kwamba Jiwe ni mungu? Urais na katiba ni ipi ina nguvu zaidi ya lingine? Hamna jipya hapo, mnayoyapitia tuliyaona yote kwa miaka 24 chini ya utawala wa dikteta Daniel Arap Moi.
Huyu bwege hafahamu katiba na democrasia ni nini. Katiba lazima ifuatiliwe ili kuwe na democracy.
Utawala wa sheria ni muhimu. If Uhuru had refused to follow the constitution and the court ordered repeat elections, mayhem & anarchy would have swiftly followed. Burundi style...that’s where you guys are headed, MagFool atawatawala kimabavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…