Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He is waliking under JPM shadow!😀😀😀😀hata hili ni jambo LA kufungulia thread. Hujapata habari mbaya Leo.
Hahaha! [emoji1] Ndio huyo hapo Geza Ulole na slay queen wake wakichuchumaa ili wapokee mapapai ya Jiwe kwa mikono miwili kama sacramenti. [emoji23][emoji23][emoji23]je! umegawiwa mapapai na Magu
Aaah wapi bana. Utawala wa Jiwe ni wa juzi juzi tu, rais U.K hajalewa na madaraka. Yeye mwenyewe anajua akigawa mapapai wakenya watampa za usoni, tena live. Hapana cheza na Nyang'au, hatupendi nonsense! 😎Uhuru kila siku anataka kua kama JPM mpaka anaboa
PHOTOS: 5 Things President Uhuru Can Learn From Magufuli's Street CleaningAaah wapi bana. Utawala wa Jiwe ni wa juzi juzi tu, rais U.K hajalewa na madaraka. Yeye mwenyewe anajua akigawa mapapai wakenya watampa za usoni, tena live. Hapana cheza na Nyang'au, hatupendi nonsense! 😎
Hahaa! [emoji1] Rais U.K ajifunze kutoka kwa dikteta? No, thank you!
Unataka Rais anaechekacheka hovyo kama uhuru aliwachekea hovyo majaji wakawaingiza kwenye tragedy ya double election? Kama wakenya hamjui ile mahali mliangukia ni pale Rais wenu alishindwa namna ya kusimama kama Rais akakubali election mpya na mlifanya elections zote kwa mkopo and they were expensive elections in the world pale ndio mlipoanza kua failed and broke state.Hahaa! [emoji1] Rais U.K ajifunze kutoka kwa dikteta? No, thank you!
Vijana wa Lumumba buana. Yaani wewe hapo unajua kwamba Jiwe ni mungu? Urais na katiba ni ipi ina nguvu zaidi ya lingine? Hamna jipya hapo, mnayoyapitia tuliyaona yote kwa miaka 24 chini ya utawala wa dikteta Daniel Arap Moi.Unataka Rais anaechekacheka hovyo kama uhuru aliwachekea hovyo majaji wakawaingiza kwenye tragedy ya double election? Kama wakenya hamjui ile mahali mliangukia ni pale Rais wenu alishindwa namna ya kusimama kama Rais akakubali election mpya na mlifanya elections zote kwa mkopo and they were expensive elections in the world pale ndio mlipoanza kua failed and broke state.
Sio JPM.
Huyu bwege hafahamu katiba na democrasia ni nini. Katiba lazima ifuatiliwe ili kuwe na democracy.Vijana wa Lumumba buana. Yaani wewe hapo unajua kwamba Jiwe ni mungu? Urais na katiba ni ipi ina nguvu zaidi ya lingine? Hamna jipya hapo, mnayoyapitia tuliyaona yote kwa miaka 24 chini ya utawala wa dikteta Daniel Arap Moi.