Uhuru na katiba mpya

Uhuru na katiba mpya

ELENEUS ELIAS

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
5
Reaction score
0
licha ya miaka 51 ya uhuru bado maadui wetu ujinga maradhi umaskini yanatukabili katiba mpya iwe namisingi ya kuyaondoa
 
aidha malumbano ya kisiasa dhidi ya katiba yatachelewesha zoezi la upatikanaji wa katiba mpya na hivyo kuharibu pesa
 
Haki itendeke katika kupatikan kwa katiba mpya na maoni ya kila mtanzania yazingatiwe
 
Back
Top Bottom