simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Mnapika masikini tu, Sheria Kali zimewekewa masikini huku matajiri wakiwa zurura huku na huko. Failed state.
Wenye akili hufanya maamuzi makini,maamuzi magumu ni kama kujinyonga.Aki ya nani hilo dongo safi sana, ameeleza kile huwa tunawaambia humu kila siku.
Uking'angania kuingia kwangu, fuata maagizo yangu wala hatutakua na shida. Pimwa pimwa pimwa, basi.
Hivi wakenya mbona mnakua sio waelewa?, sisi tumesema hatutaki kuja kwenu kama mumeweka masharti tusiyoyataka, ninyi wenyewe ndio mliotufuata baada ya sisi kususia na kutaka kila mtu abaki kwao ili tuzungumze tuendelee kuja kwenu.Hakuna kuingia bila kupimwa, msituletee corona yenu hiyo.
Haya ndiyo yaliyokua majibu yetu yaliyolazimisha Uhuru Kenyatta kuomba suluhuHakuna kuingia bila kupimwa, msituletee corona yenu hiyo.
Hivi wakenya mbona mnakua sio waelewa?, sisi tumesema hatutaki kuja kwenu kama mumeweka masharti tusiyoyataka, ninyi wenyewe ndio mliotufuata baada ya sisi kususia na kutaka kila mtu abaki kwao ili tuzungumze tuendelee kuja kwenu.
Msimamo wa Tanzania ulikua ni kila mti abaki kwake, ninyi ndio mliotaka mazungumzo kupitia kwa rais wenu, ndipo sisi tukakubali tuzungumze, nani kati ya Kenya na Tanzania aliyeomba suluhu?
Mnapima nini wakati kila siku mnasoma takwimu na hakuna hatua mnayochukua kupunguza maambukizi.Aki ya nani hilo dongo safi sana, ameeleza kile huwa tunawaambia humu kila siku. Uking'angania kuingia kwangu, fuata maagizo yangu wala hatutakua na shida. Pimwa pimwa pimwa....basi.
Hahaha, baada ya kuwapiga marufuku ktupima na kutangaza takwimu mmebaki na hilo tu,ni hivi,dunia nzima inapima foreigners wote wanaongia nchi zao,hata sisi tunaqpima watu wenu,na hawawezi kuingia bila kupimwa.najua inakuuma sana baada ya viongozi wenu kutupigia magoti.meza tu hayo maumivu hamna namna.Wacha makelele, tumeweka wazi kwamba lazima mpimwe, hautaruhusiwa kuingia bila kupimwa, hata mlie lie kivipi.
Hahaha, baada ya kuwapiga marufuku ktupima na kutangaza takwimu mmebaki na hilo tu,ni hivi,dunia nzima inapima foreigners wote wanaongia nchi zao,hata sisi tunaqpima watu wenu,na hawawezi kuingia bila kupimwa.najua inakuuma sana baada ya viongozi wenu kutupigia magoti.meza tu hayo maumivu hamna namna.
Mlilia msitangazwe[emoji1787][emoji1787]Hahaha, baada ya kuwapiga marufuku ktupima na kutangaza takwimu mmebaki na hilo tu,ni hivi,dunia nzima inapima foreigners wote wanaongia nchi zao,hata sisi tunaqpima watu wenu,na hawawezi kuingia bila kupimwa.najua inakuuma sana baada ya viongozi wenu kutupigia magoti.meza tu hayo maumivu hamna namna.
Pole,hachukii wachaga kwanza ukienda gikomba wachaga ni wengi Sana hata pale soko la wakulima Ila lazima alinde masilahi ya wote unaweza ukakwazika kidogo lakini naombeni muwe welewa . Anawapenda asingewapenda gikomba msingekua.Hivi Raisi Uhuru Kenya sisi Wachaga tulikukosea nini babangu? Maana hujaanza leo kutufurumusha huko kwako, Wachaga ndio tuliojaa Kenya tunauza Mitumba na mboga mboga, kuna kipindi pia Mbunge wako alitufurumusha, ni nini hasa?
Hivi wakenya mbona mnakua sio waelewa?, sisi tumesema hatutaki kuja kwenu kama mumeweka masharti tusiyoyataka, ninyi wenyewe ndio mliotufuata baada ya sisi kususia na kutaka kila mtu abaki kwao ili tuzungumze tuendelee kuja kwenu.
Msimamo wa Tanzania ulikua ni kila mti abaki kwake, ninyi ndio mliotaka mazungumzo kupitia kwa rais wenu, ndipo sisi tukakubali tuzungumze, nani kati ya Kenya na Tanzania aliyeomba suluhu?
Hahaha, baada ya kuwapiga marufuku ktupima na kutangaza takwimu mmebaki na hilo tu,ni hivi,dunia nzima inapima foreigners wote wanaongia nchi zao,hata sisi tunaqpima watu wenu,na hawawezi kuingia bila kupimwa.najua inakuuma sana baada ya viongozi wenu kutupigia magoti.meza tu hayo maumivu hamna namna.
KUJINYONGA NI MAAMUZI YA KUSHINDWA SIO MAGUMUWenye akili hufanya maamuzi makini,maamuzi magumu ni kama kujinyonga.
Mlitaka tuchafuke wore,ili tukose utalii wote,tumewaachia manyoya.inawaumaaa!Mlilia msitangazwe[emoji1787][emoji1787]
Hahaha! Tumewapiga beat,hakuna kutangaza,hakuna kutupima,mkatii.lnawaumaaa!Hakuna siku mumetupiga marufuku kuwapima, kile mliomba ni kwamba namba zenu tuwe tunaficha ili muendelee kudanganyana huko ilhali mnapukutika kama majani.
Viongozi wetu ni mabepari, tunahitaji kupiga hela, hivyo mkinuna kama masista du, mnatekenywa na kuchekelea kisha mnapanua.
Waganda bado wanaendelea kuwatangaza basi, nendeni na kule pia mkalielieMlitaka tuchafuke wore,ili tukose utalii wote,tumewaachia manyoya.inawaumaaa!