Uhuru na maamuzi magumu

Uhuru na maamuzi magumu

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Ukiingia kwangu vua viatu mlangoni, ndio taratibu hapa nyumbani.

Aki ya nani hilo dongo safi sana, ameeleza kile huwa tunawaambia humu kila siku. Uking'angania kuingia kwangu, fuata maagizo yangu wala hatutakua na shida. Pimwa pimwa pimwa....basi.
 
Mnapika masikini tu, Sheria Kali zimewekewa masikini huku matajiri wakiwa zurura huku na huko. Failed state.
 
Hakuna kuingia bila kupimwa, msituletee corona yenu hiyo.
 
Aki ya nani hilo dongo safi sana, ameeleza kile huwa tunawaambia humu kila siku.
Uking'angania kuingia kwangu, fuata maagizo yangu wala hatutakua na shida. Pimwa pimwa pimwa, basi.
Wenye akili hufanya maamuzi makini,maamuzi magumu ni kama kujinyonga.
 
Hivi Raisi Uhuru Kenya sisi Wachaga tulikukosea nini babangu? Maana hujaanza leo kutufurumusha huko kwako, Wachaga ndio tuliojaa Kenya tunauza Mitumba na mboga mboga, kuna kipindi pia Mbunge wako alitufurumusha, ni nini hasa?
 
Hakuna kuingia bila kupimwa, msituletee corona yenu hiyo.
Hivi wakenya mbona mnakua sio waelewa?, sisi tumesema hatutaki kuja kwenu kama mumeweka masharti tusiyoyataka, ninyi wenyewe ndio mliotufuata baada ya sisi kususia na kutaka kila mtu abaki kwao ili tuzungumze tuendelee kuja kwenu.

Msimamo wa Tanzania ulikua ni kila mti abaki kwake, ninyi ndio mliotaka mazungumzo kupitia kwa rais wenu, ndipo sisi tukakubali tuzungumze, nani kati ya Kenya na Tanzania aliyeomba suluhu?
 
Wacha makelele, tumeweka wazi kwamba lazima mpimwe, hautaruhusiwa kuingia bila kupimwa, hata mlie lie kivipi.
 
Aki ya nani hilo dongo safi sana, ameeleza kile huwa tunawaambia humu kila siku. Uking'angania kuingia kwangu, fuata maagizo yangu wala hatutakua na shida. Pimwa pimwa pimwa....basi.
Mnapima nini wakati kila siku mnasoma takwimu na hakuna hatua mnayochukua kupunguza maambukizi.
 
Wacha makelele, tumeweka wazi kwamba lazima mpimwe, hautaruhusiwa kuingia bila kupimwa, hata mlie lie kivipi.
Hahaha, baada ya kuwapiga marufuku ktupima na kutangaza takwimu mmebaki na hilo tu,ni hivi,dunia nzima inapima foreigners wote wanaongia nchi zao,hata sisi tunaqpima watu wenu,na hawawezi kuingia bila kupimwa.najua inakuuma sana baada ya viongozi wenu kutupigia magoti.meza tu hayo maumivu hamna namna.
 
Hakuna siku mumetupiga marufuku kuwapima, kile mliomba ni kwamba namba zenu tuwe tunaficha ili muendelee kudanganyana huko ilhali mnapukutika kama majani.
Viongozi wetu ni mabepari, tunahitaji kupiga hela, hivyo mkinuna kama masista du, mnatekenywa na kuchekelea kisha mnapanua.
 
Mlilia msitangazwe[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi Raisi Uhuru Kenya sisi Wachaga tulikukosea nini babangu? Maana hujaanza leo kutufurumusha huko kwako, Wachaga ndio tuliojaa Kenya tunauza Mitumba na mboga mboga, kuna kipindi pia Mbunge wako alitufurumusha, ni nini hasa?
Pole,hachukii wachaga kwanza ukienda gikomba wachaga ni wengi Sana hata pale soko la wakulima Ila lazima alinde masilahi ya wote unaweza ukakwazika kidogo lakini naombeni muwe welewa . Anawapenda asingewapenda gikomba msingekua.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wakenya mbona mnakua sio waelewa?, sisi tumesema hatutaki kuja kwenu kama mumeweka masharti tusiyoyataka, ninyi wenyewe ndio mliotufuata baada ya sisi kususia na kutaka kila mtu abaki kwao ili tuzungumze tuendelee kuja kwenu.

Msimamo wa Tanzania ulikua ni kila mti abaki kwake, ninyi ndio mliotaka mazungumzo kupitia kwa rais wenu, ndipo sisi tukakubali tuzungumze, nani kati ya Kenya na Tanzania aliyeomba suluhu?
Usiwe mtu wa kuropoka tu.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha, baada ya kuwapiga marufuku ktupima na kutangaza takwimu mmebaki na hilo tu,ni hivi,dunia nzima inapima foreigners wote wanaongia nchi zao,hata sisi tunaqpima watu wenu,na hawawezi kuingia bila kupimwa.najua inakuuma sana baada ya viongozi wenu kutupigia magoti.meza tu hayo maumivu hamna namna.
punguza jazba.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna siku mumetupiga marufuku kuwapima, kile mliomba ni kwamba namba zenu tuwe tunaficha ili muendelee kudanganyana huko ilhali mnapukutika kama majani.
Viongozi wetu ni mabepari, tunahitaji kupiga hela, hivyo mkinuna kama masista du, mnatekenywa na kuchekelea kisha mnapanua.
Hahaha! Tumewapiga beat,hakuna kutangaza,hakuna kutupima,mkatii.lnawaumaaa!
 
Back
Top Bottom