Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Eti mmepave 13,000 km za barabara chini ya miaka 5!!!! Do you even know what 1,000km looks like? 13,000km ni Sawa na kujenga barabara kutoka Dar Hadi Kigali alafu ujenge barabara kumi nyengine kama hio!Unafaham upande wa barabara tueshapave 13000km hadi juzi hapa...Magufuli alivyoingia madarakani zilikua 8000+km
hosp Za wilaya na vituo vya afya vipya zaidi ya 300. ...
Dawa sahv zinapatikana bila shida
Umeme wa vijijin penetration imeongezeka sana..
Huduma ya maji nayo imeboreshwa sana...
Umeme nao sahv kukatika ni kue na dharura lasivyo haukatiki kama miaka 5 iliopita
Eti hospitali mpya 300!! Unajua bei ya mordern x-ray machine au MRI no shilingi ngapi?
Serekali yenu kumbe inapenda Ku exaggerate achievements zenu... Nakumbuka ule wakati JPM alitangaza Tz kumejengwa viwanda 3,000 vipya ndani ya miaka miwili, kumbe alikua anahesabu hata maduka ya kushona nguo kutumia cherehani kama kiwanda!!!!!