Uhuru na Raila kuongozana China kwa maslahi ya nchi, hivi Tz Mbowe na Magufuli wanaweza?

Eti mmepave 13,000 km za barabara chini ya miaka 5!!!! Do you even know what 1,000km looks like? 13,000km ni Sawa na kujenga barabara kutoka Dar Hadi Kigali alafu ujenge barabara kumi nyengine kama hio!

Eti hospitali mpya 300!! Unajua bei ya mordern x-ray machine au MRI no shilingi ngapi?

Serekali yenu kumbe inapenda Ku exaggerate achievements zenu... Nakumbuka ule wakati JPM alitangaza Tz kumejengwa viwanda 3,000 vipya ndani ya miaka miwili, kumbe alikua anahesabu hata maduka ya kushona nguo kutumia cherehani kama kiwanda!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…