Uhuru ndiye rais pekee Afrika aliyealikwa kuhutubia mataifa makubwa ya G7

huyu jamaa nilitamani sana angepambana na mzee Lowassa na penda sana viongozi wenye kiu yamafanikio
 
Ukiona unaitwa itwa na Wazungu ujue wana maslahi yao binafsi kwako. Viongozi tuliobaki nao ni vibaraka tu. Mtakaa humu kujidanganya eti akili kubwa wala hakuna lolote, hawawezi kukuita kama hawana wanachotaka kwako .Hotuba za kuandikiwa anaweza kwenda kusoma yeyote. Issue ya msingi is how wanabenefit from you. Bado tuna akili za kikoloni kweli.
 
Uhuru alishughulikia mgomo Wa madaktari kwa ustaarabu Wa hali ya juu kinyume na marais Wa Afrika tunavyowajua. Pia maandamano ya wapinzani kuikataa wajumbe wa tume huru ya uchaguzi kwa ustaarabu mkubwa akakubali wajumbe wabadilishwe. Ingekuwa nchi nyingine za Afrika tungesikia watu kufungwa. Kushitakiwa kupotezwa no No wonder political tolerance take imempa CV kwa vigezi vya hao waliomuita . Kenya has a better constitution compared to most other African countries except Botswana and South Africa. Tatizo la Kenya Ukabila na Rushwa bado safari Ndefu tena grand ,not petty corruption .Ila in group of dwarfs Kenya in giant in Africa
 
Kumbuka wao G7 wanajiita free world na humor China na Mrusi hayumo kwa vigezo vyao. Labda na Mbadala ataka ejumuisha China na Mrusi ,kama BRICS ila sasa nao uchumi Wa bwana mkubwa China unaslow sio kama miongo mitatu ya nyuma ndio maana BRICS anafifia siyo kama steam alianza nayo. .Lakini in wazi G7 hawana miaka 20 mbele ya kutamba ulimwenguni.
 
Kule kuna majipu eeeh......Pia kule Lugha wanaiongea sasa hatari ......
Kule kila mtu anaongea lugha anayoitaka, hata Kiswahili ruksa.Usisahau hata Trump anatumbua majipu.
 
Kenya Inaelekea Kuwa Kichaka Cha Magaidi..

Ogopa sana hawa watu wakianza kuku praise
 
Hamna Rais anayefikia mialiko ya Kikwete G7 or G8! Nothing special unless ujinga wa kawaida wa Wakenya humu ndani..
Inamaana kwa wakati huo Kikwete ndiye aliekuwa ni akili kubwa.... Na ndiyo maana wakawa wanamchangua kwenda kuwakilisha ......
 
Hongereni sana Wakenya kwakua na Rais makini, mwenye uwezo mzuri wa kujieleza, Mzarendo wa kweli wa nchi yake na asiye na roho ya Kimasikini, kuna baadhi ya nchi Rais wao akitaka kuhutubia wanashika vichwa maana hawajui ataropoka utumbo gani.
Na ni utumbo kwelikweli
 
Hongereni sana Wakenya kwakua na Rais makini, mwenye uwezo mzuri wa kujieleza, Mzarendo wa kweli wa nchi yake na asiye na roho ya Kimasikini, kuna baadhi ya nchi Rais wao akitaka kuhutubia wanashika vichwa maana hawajui ataropoka utumbo gani.

Aisei nimecheka nusra nife hapa....mbavu zangu.
 
Na mtu mwenyewe ni Uhuru wa Kenyata
Yap, kwa hali ilivyo Kenya inastahili kukaa meza moja na hao wanafiki wazungu....maana wanaelekea kwny uchaguzi mkuu huku kukiwa na kmbkmb ya machafuko na mauaji ktk uchaguzi ulopita suala ambalo lilimpeleka Kenyata 'the hague', lkn pia issue ya Somalia nadhani ni agenda kuu, na Kenya na Somalia wanaingiliana kw karibu sana.
 
"It will focus on the global economy, foreign policy, security of citizens and environmental sustainability".

Al-Shabab ndio wanampeleka huko.

Mkuu you are very narrow-minded creature, Security of Citizen; ni Al-Shabab tu, not food security, not financial security
 


Kuna kanchi walipenda wamchague kiongozi wake aende akatoe speech tatizo lugha gongana na kauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…