makavulaivu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 401
- 158
if you cant outwit your rival ,join him!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru aache kuhonga watu. Kwanini asisubiri court ikatoa maamuzi ya mwisho? Na huu mtindo wa kugawana vyeo mezani ndio unarudisha nyuma good governance in Africa. Ukiwa na weak publis institutions, then wanasiasa nao wakakomalia mfumo wa kugawana vyeo, ndio unatengeneza mazingira bora kwa ufisadi kushamiri. Checks & balances zinafukiwa kabisa.
Raila, hata kama court itasema uchaguzi ulikuwa fine, abaki upande wa pili.
......sio mtu mbaya.......... Really? Ana kesi the Hague kuwa ali-bankroll Mungiki, his father ruled Kenya with iron fist and his family is alleged to own about half of Kenyan arable land........ to start with!Of course Wakikuyu wako happy sana ,it is a matter of numbers kwa siasa za Kenya. So kama jamaa kashinda basi ni rais wa wakenya wote. I hope huyu jamaa atatawala vizuri, anaelekea sio mtu mbaya.
Kasahau kuwa RAO si MaDVD,ambayo yanachezewa na kudanganyika kama watoto wadogo kwa kupewa peremende kwenye mikono ya maji baridiSasa najua kwa nini Uhuru aliwashukuru sana IEBC pale Bomas.
Na hata kwenye acceptance speech yake pongezi kwa IEBC zilipitiliza na akapledge kuwasaidia zaidi. Sioni kwa vipi alipaswa kuwadhukuru tume endapo hawakumsaidia kwa lolote.
Sasa kusema RAO aachane na kesi in exchange for government position its an insult to Uhuru's IQ
Mt Kenya Mafia& Co,akina Githeri,Miraa,Musiki,WaiganjosWhich Kenyans?