Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Leo Kiongozi wa muunganiko wa vyama vya NASA Raila Odinga anatarajiwa kuapishwa kama Rais wa Kenya. Hatua hii ya Raila Odinga inakuja iliwa ni baaada ya kugomea uchaguzi mkuu wa marudio nchini humo, uliofanyika tarehe 26/10/2017.
Raila aligomea uchaguzi huo kwa sababu za kusema kuwa tume ya Uchaguzi nchini humo si ya Uhuru na haki. Uchaguzi huo wa marudio ulikuja baada ya Mahakama ikiongozwa na Jaji Maraga kutengua Uchaguzi wa awali uliofanyika 8 Agosti.
Katika uchaguzi huo wa Oktoba, Rais Kenyatta alitangazwa mshindi akiwa na kura 7.5 milioni ambazo ni sawa na asilimia 98 ya kura zilizokuwa zimepigwa.
Waliojitokeza kushiriki uchaguzi huo walikuwa 39% kati ya waliojiandikisha kupiga kura.
Kenyatta aliapishwa kuwa Rais wa Kenya baada ya uchaguzi wa marudio mnamo tarehe 28/11/2017
Raila ameapishwa, Kalonzo Musyoka hajaonekana
Kiapo hicho kimesimamiwa na Mbunge wa Ruaraka, TJ Kajwag
Viongozi waandamizi wa Upinzani wakiwemo Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi na Moses Wetang'ula hawakuepo katika tukio hilo lililochukua chini ya dakika 10
Raila amesema baadae ataelezea Kalonzo Musyoka alikuwa wapi
Watu wakiwa wamekusanyika wakimsubiri Kiongozi wa NASA Raila Odinga kuja kuapishwa
Ruaraka Member of Parliament will be the one to administer the oath of office to Raila Odinga at Uhuru Park.
The MP who showed up in full court regalia, told journalists that he was excited to be the one to make sure National Super Alliance (NASA) leader Raila Odinga takes oath of office as President in a controversial exercise.
Updates:
==>National Assembly minority leader John Mbadi condemns shutdown of ADN transmission site in Limuru.
Read More here; Breaking News: - KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!
==>NASA PRINCIPALS set to arrive at Uhuru Park in about 40 minutes for the swearing-in ceremony, CEO Norman Magaya confirms
==> NASA PRINCIPALS to arrive in Uhuru Park in 20 minutes for the swearing-in ceremony.
1.43 PM: With almost 15 minutes to go, will Raila Odinga make it in time for swearing-in. This is what Kenyan constitution says about it.
2.00PM: Raila Odinga is not yet to arrive at Uhuru Park
2.25PM: The place is ready and people are still waiting for Raila Odinga
2.40PM: Raila Odinga and NASA principal have arrived at Uhuru Park
2.48PM: Raila Odinga is swearing In as the President of Kenya
Kalonzo Musyoka was not present at Uhuru Park to sworn as vice president of the people. President of the People as declared today said later on people will get explanation why Kalonzo was not present.