Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Vipi kinaendelea nini hapo bustani za Uhuru
Tujuzeni huku tuanze kuandaa mazingira ya kkupokea wakimbizi
 
Kumbukeni according to ASSUMPTION OF THE OFFICE OF PRESIDENT ACT NO. 21 OF 2012, oath taking ceremony for the president should take place between 10:00 am and 2:00 pm Jakuon has 30 minutes to go. Otherwise, he will be leading his supporters in conducting what i called earlier, a mass masturbation exercise.

216991_fce9a17ee4461a4db2804d2383f91bb3.png
 
Jamaa wako kwa kikao wanajadili hali ya Television kadhaa kufungwa na impact yake pamoja na mbinu iliyotumiwa na serikali kuondoa maaskari uhuru pack. Wanaona hii ya kuzima Tv inaweza ikafanya polisi wakavamia watu kisha kuwapiga na kuua wengine wakiwa gizani, ndiyo maana mpaka muda huu bado wako kwa vikao wanajadili nini kifanyike.
hamna Polisi ama Jeshi linaweza vamia wafuasi millioni moja! Hapo walipo hata Ikulu wanaingia wakiamua kuandamana! Kumbuka ushindi wa Uhuruto ni wa magumashi!
 
yani kuna jambo limenishangaza 39%
ndio waliojitokeza kati ya walio jiandikisha kupiga kura,
ni halali ang'ang'anie kuapishwa.
na idadi ya wakenya ni karibu million 40
na yeye kashinda kwa kura 7.5 million
hapa kuna tatizo sio bure kabisa.
Tatizo unalo wewe kwasababu haihalishi idadi ya wakenya inahalisha idadi ya kura zilizopigwa
 
Kumbukeni according to ASSUMPTION OF THE OFFICE OF PRESIDENT ACT NO. 21 OF 2012, oath taking ceremony for the president should take place between 10:00 am and 2:00 pm Jakuon has 30 minutes to go. Otherwise, he will be leading his supporters in conducting what i called earlier, a mass masturbation exercise.

A mass masturbation exercise [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Tunapotukanwa Africa tunaanza kulalama, haya maigizo ya hatari namna hii kwakweli yasingepewa nafasi. Hii ni aibu nyingine Africa, kwamba umesusia uchaguzi, mwenzio kaenda kashinda katangazwa halafu baadae uje kinyume na katiba ujiapishe. Hizi ni chokochoko, maana mwisho wa haya mambo ni fujo na uvunjaji wa sheria.
 
kindikwili Raila anapaswa kuheshimu taratibu walizojiwekea, mzaha huu ukiachwa utakuwa chachu kwa nchi nyingine kupata mwanya wa kuanzisha vurugu kwa mambo yasiyo na msingi.

Ningemuelewa kama angegombea na kupata idadi ya kura inayokaribiana. Hapo angejenga hoja na serikali ya ummoja angeeleweka!! huo mzaha usipewe kipaumbele
 
Back
Top Bottom