pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Baba Fidel.Baba nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba Fidel.Baba nani?
Nenda ukawasaidie,sio kelele za mbaliso mtu aibe mali yako/zako then akuambie apewe ndugu yake na aliekudhulumu Mali zako Mugawane wakati unajua atampendelea jamaa yake?
raila was right
Maalim was right too
RIP FidelBaba Fidel.
Kwan hawajatahiriwaNendeni ikulu mkakatwe izo govi
wamemuapishaAtakaye muapisha Raila ni T.J Kajwang, mbunge wa Ruaraka kutoka chama cha NASA. Yaani NASA hawakufanikiwa kupata hata hakimu mmoja tu, atakaye jitoa mhanga? Hii drama ni kali sana zaidi ya zile za Nollywood. Nawa oo, Oga you no go run away on okada, Afrosinema continues shortly.....😀
amemuapisha hahah hawa jaamaa nishida lakini uhuru ni mvumilivu kiasi kikubwa ingekuwa policcm kuna watu wangekuwa wameaga dunia saa nyingi sana hapo uwanja huo vifaru vya enzi za mjeremani vingetolewa stoo cc ukutaKweli kenya wabishi sana.
Kusoma kwingi kuna shida yake eti.
wewe uko upi ulipo tupo................Leo bavicha mko upande gani??
so kenya kwa sasa ina maraisi wawili what a jokehatimaye kenya yapata marais wawili
raila odinga na uhuru kenyatta...tayari raila ameshaapa kuwa rais wa wananchi.
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]so kenya kwa sasa ina maraisi wawili what a joke
Mimi namtambua Uhuru kama rais halali wa Kenya, Odinga anacheza makida tu.wewe uko upi ulipo tupo................