Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

so mtu aibe mali yako/zako then akuambie apewe ndugu yake na aliekudhulumu Mali zako Mugawane wakati unajua atampendelea jamaa yake?

raila was right
Maalim was right too
Nenda ukawasaidie,sio kelele za mbali
 
Atakaye muapisha Raila ni T.J Kajwang, mbunge wa Ruaraka kutoka chama cha NASA. Yaani NASA hawakufanikiwa kupata hata hakimu mmoja tu, atakaye jitoa mhanga? Hii drama ni kali sana zaidi ya zile za Nollywood. Nawa oo, Oga you no go run away on okada, Afrosinema continues shortly.....😀😀😀
 
hatimae wamemuapisha kalonzo is no where to be seen kiruu this old babu is crazy ana jeshi mahakama nk nk nk?
 
Atakaye muapisha Raila ni T.J Kajwang, mbunge wa Ruaraka kutoka chama cha NASA. Yaani NASA hawakufanikiwa kupata hata hakimu mmoja tu, atakaye jitoa mhanga? Hii drama ni kali sana zaidi ya zile za Nollywood. Nawa oo, Oga you no go run away on okada, Afrosinema continues shortly.....😀
wamemuapisha

Jimmy GTYou've been played guy! NO such thing as People's president
photo.jpg

Joseph Gathumbigh
photo.jpg

ian kethianti-climax
photo.jpg

Yassirinho1000another state house under construction
photo.jpg

Shayne Kellzkitu
photo.jpg

Edimean mbekaAIC PASTOR ? FATHER WA KISUMU,ARGWING KODHEK ?
photo.jpg

caleb kalelikumbe ilikuwa upumbavu
photo.jpg

Oira DennisTibiim
photo.jpg

titus amakobehahahaha
photo.jpg

Rachael Murayawaaaaaaaaaahhh
photo.jpg

annahthat was just for self satisfaction....aaaiiiii. kusoma watu wan


PEOPLE UNITED CAN NEVER BE DEFEATED
 
w
Kweli kenya wabishi sana.

Kusoma kwingi kuna shida yake eti.
amemuapisha hahah hawa jaamaa nishida lakini uhuru ni mvumilivu kiasi kikubwa ingekuwa policcm kuna watu wangekuwa wameaga dunia saa nyingi sana hapo uwanja huo vifaru vya enzi za mjeremani vingetolewa stoo cc ukuta
 
Zamani haikuwa issue, ila kwa miaka ya karibuni nimepata kusikia kuwa mtu akiwa na govu huwa linaathiri uwezo wake wa kufikiri.
Yaani hawa majamaa hata ukiwasikia wanavyoongea unaona kabisa kuwa hiyo yote hiyo ni impact ya magovi.
 
Kalonzo makamu wa rais, no show. Mudavadi, Wetangula, no show. Raila swears out Raila. Baba tibim!
 
Raila ameapishwa kuwa Rais wa Watu wa Kenya.

Je Swahiba wake hapa Tz atatangaza kumkubali au atakaa kimya.

Huu ni mtego sana kwa nchi yetu ta Tanzania na Viongozi wetu.
 
Back
Top Bottom