skankad one
Member
- Nov 11, 2015
- 74
- 53
Acha Kufananisha Mambo Ya Kijinga Wewe! Wale Ni Wakenya Na Wanajua Kudai Haki Hawaombi Haki Penda Usipende La Sivyo Wako Tayari Kufa, Sasa Unafanishaje Na Tz? Kuna Sababu Za Kususia Uchaguzi Na Zinajulikana Hazikutekelezwa, Je Wafanyeje?Hakuna aliefanikiwa kwa kususia uchaguzi
Mbowe na Maalim Seif ni mashahidi