Hizo salamu mpelekee Dj ,fisadi nambari one na wana SACCOS wenzioMODS jaribuni kuwa wazalendo na waelewa, hii mada imeanzishwa na mtanzania mwenzetu ili tujadili weaknesses na strengths zetu kupitia tukio la leo na tujifunze, mnapoipeleka jukwaa la Kenya hakika hamtutendei haki members.
======================
Kuna mambo mawili ya kujifunza Kenya.
[HASHTAG]#Mosi[/HASHTAG]; ni kuhusu Raila Odinga. Amekuwa jasiri, na mwenye msimamo thabiti wa kusimamia kile anachoamini hadi dakika ya mwisho. Ameongoza maelfu ya watu wake katika kuhitimisha safari ya "Kaanani". Kwenye kampeni aliwaambia wananchi wake atashinda, matokeo yalipotangazwa hakukubaliana nayo. Akawaaongoza watu wake kuyakataa. Na leo ameungana nao kujiapisha.
Bila kujali vitisho kutoka vyombo vya dola, bila kujali kuwa anaweza kushtakiwa kwa "uhaini" lakini amejivika ujasiri. Hili ni funzo kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa barani Afrika. Sio unawaambia watu "pigeni kura matokeo niachieni mimi" lakini siku ya matokeo unajifungia ndani, halafu baada ya miaka miwili unaenda kupongeza juhudi. If people grant their trust on u, please learn to fight your battle to the last.
[HASHTAG]#Pili[/HASHTAG]; ni kuhusu Rais Uhuru Kenyatta. Huyu ni kielelezo cha kiongozi wa mfano bora kabisa wa demokrasia duniani. Ameonesha "political maturity" ya hali ya juu sana. Kama ni soka huyu ndiye "man of the match" kwa leo.
Mwanzoni vyombo vya usalama vilitishia kusambaratisha kusanyiko hilo la Raila. Ni wazi wangefanya hivyo yangetokea machafuko makubwa sana nchini humo na huenda sasa hivi tungekua tunasambaza picha za majeruhi na marehemu na hashtag isemayo "Pray 4Kenya"
Lakini Uhuru ametumia hekima ambayo viongozi wengi wa Afrika wamekosa. Ameamua kuwaacha wafuasi wa Raila waridhishe mioyo yao. Wakati wafuasi wa Raila wanafika uwanjani tayari Askari walikua wametanda viwanjani hapo na silaha nzito. Uhuru alijua kwamba pamoja na kuzuia askari wasishambulie raia, lakini wafuasi hao wangeweza kuwachokoza askari na hatimaye kuzusha taharuki. Kwahiyo akaamua kuwaondoa askari wote uwanjani.
Hii ni busara ya hali ya juu sana. Sio viongozi wengine wamejaa mihemko wakiona tu watu wamekusanyika na tishert za "Pray4Somebody" wanaagiza wapigwe. Huku ni kuyatumia vibaya majeshi. Ukiona hata katuni unakasirika. Ebo.!! Kiongozi ni lazima ujifunze kuzuia mihemko yako. Mtu amepigwa risasi, watu wamekusanyika kwa amani ili wamuombee, unaagiza Polisi kuwasambaratisha kwa mabomu. Kama kusanyiko la kumuombea tu mtu linakupa mihemko, vp ukisikia kuna kiongozi anataka kujiapisha kama Raila?
Kuna wakati viongozi husababisha maafa bila sababu yoyote kwa kuvitumia vibaya vyombo vya ulinzi na usalama. Ni muhimu viongozi wa Afrika wajifunze busara ya Uhuru kwamba si lazima matumizi ya nguvu kila mahali. Uhuru anajua hamna Ikulu mbili, hakuna cabinet mbili, hakuna mabunge mawili. Anajua Raila amejiapisha kujifurahisha tu na kukata kiu ya wafuasi wake. Lakini at last atarudi nyumbani akale "gideri" na mke wake. Sasa kwanini ajihangaishe kupiga mabomu na kuua watu bure? This is the true meaning of democracy.
Salaam kwa Faru John.!
Malisa GJ.
Hawa ndio waliosababisha hata serikali ianzekuinanga jfTabia kama hizi ndizo zinafanya sote tuonekane hopeless.
Ili tuwe superior lazima tuheshimu haki za wengine, tuheshimu demokrasia, tuheshimu utawala wa sheria, tuheshimu misingi ya uchumi vinginevyo tutaendelea kuwaona Kenya wakituacha mbali kwa kila nyanja.Watanzania tunakuwa inferior sana kwa hawa manyang'au. Km Uhuru mpenda demokrasia kwann amepiga marufuku vyombo vya habari visionyeshe..wakina malisa IQ zao ndogo sana bora kisoda. Km MTU Leo odinga na crew yake wamewekwa kwenye kundi LA waharifu na magaidi..tena kwenye government gazette. Vijana wengi hopel
Hii makala imenikumbusha Ben Saanane. Eti salaam kwa Faru John. Na ni Faru kweli😀Kuna mambo mawili ya kujifunza Kenya.
[HASHTAG]#Mosi[/HASHTAG]; ni kuhusu Raila Odinga. Amekuwa jasiri, na mwenye msimamo thabiti wa kusimamia kile anachoamini hadi dakika ya mwisho. Ameongoza maelfu ya watu wake katika kuhitimisha safari ya "Kaanani". Kwenye kampeni aliwaambia wananchi wake atashinda, matokeo yalipotangazwa hakukubaliana nayo. Akawaaongoza watu wake kuyakataa. Na leo ameungana nao kujiapisha.
Bila kujali vitisho kutoka vyombo vya dola, bila kujali kuwa anaweza kushtakiwa kwa "uhaini" lakini amejivika ujasiri. Hili ni funzo kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa barani Afrika. Sio unawaambia watu "pigeni kura matokeo niachieni mimi" lakini siku ya matokeo unajifungia ndani, halafu baada ya miaka miwili unaenda kupongeza juhudi. If people grant their trust on u, please learn to fight your battle to the last.
[HASHTAG]#Pili[/HASHTAG]; ni kuhusu Rais Uhuru Kenyatta. Huyu ni kielelezo cha kiongozi wa mfano bora kabisa wa demokrasia duniani. Ameonesha "political maturity" ya hali ya juu sana. Kama ni soka huyu ndiye "man of the match" kwa leo.
Mwanzoni vyombo vya usalama vilitishia kusambaratisha kusanyiko hilo la Raila. Ni wazi wangefanya hivyo yangetokea machafuko makubwa sana nchini humo na huenda sasa hivi tungekua tunasambaza picha za majeruhi na marehemu na hashtag isemayo "Pray 4Kenya"
Lakini Uhuru ametumia hekima ambayo viongozi wengi wa Afrika wamekosa. Ameamua kuwaacha wafuasi wa Raila waridhishe mioyo yao. Wakati wafuasi wa Raila wanafika uwanjani tayari Askari walikua wametanda viwanjani hapo na silaha nzito. Uhuru alijua kwamba pamoja na kuzuia askari wasishambulie raia, lakini wafuasi hao wangeweza kuwachokoza askari na hatimaye kuzusha taharuki. Kwahiyo akaamua kuwaondoa askari wote uwanjani.
Hii ni busara ya hali ya juu sana. Sio viongozi wengine wamejaa mihemko wakiona tu watu wamekusanyika na tishert za "Pray4Somebody" wanaagiza wapigwe. Huku ni kuyatumia vibaya majeshi. Ukiona hata katuni unakasirika. Ebo.!! Kiongozi ni lazima ujifunze kuzuia mihemko yako. Mtu amepigwa risasi, watu wamekusanyika kwa amani ili wamuombee, unaagiza Polisi kuwasambaratisha kwa mabomu. Kama kusanyiko la kumuombea tu mtu linakupa mihemko, vp ukisikia kuna kiongozi anataka kujiapisha kama Raila?
Kuna wakati viongozi husababisha maafa bila sababu yoyote kwa kuvitumia vibaya vyombo vya ulinzi na usalama. Ni muhimu viongozi wa Afrika wajifunze busara ya Uhuru kwamba si lazima matumizi ya nguvu kila mahali. Uhuru anajua hamna Ikulu mbili, hakuna cabinet mbili, hakuna mabunge mawili. Anajua Raila amejiapisha kujifurahisha tu na kukata kiu ya wafuasi wake. Lakini at last atarudi nyumbani akale "gideri" na mke wake. Sasa kwanini ajihangaishe kupiga mabomu na kuua watu bure? This is the true meaning of democracy.
Salaam kwa Faru John.!
Malisa GJ.
Falsafa ya Kenyata ni kama ya JK : "Kelele za chura hazimzuii MTU kuchota MAJI"!!! Alichokifanya Raila ni kelele za chura tu!!! Hazina madhara!!! Kenyata is turning slowly but surely to be the Father of Democracy in Africa!!!. Long live Uhuru Kenyatta! Africa is proud of you!!!
Msiwe watu wa kuzungumza bila utafiti....Kuna mambo mawili ya kujifunza Kenya.
[HASHTAG]#Mosi[/HASHTAG]; ni kuhusu Raila Odinga. Amekuwa jasiri, na mwenye msimamo thabiti wa kusimamia kile anachoamini hadi dakika ya mwisho. Ameongoza maelfu ya watu wake katika kuhitimisha safari ya "Kaanani". Kwenye kampeni aliwaambia wananchi wake atashinda, matokeo yalipotangazwa hakukubaliana nayo. Akawaaongoza watu wake kuyakataa. Na leo ameungana nao kujiapisha.
Bila kujali vitisho kutoka vyombo vya dola, bila kujali kuwa anaweza kushtakiwa kwa "uhaini" lakini amejivika ujasiri. Hili ni funzo kwa viongozi wengi wa vyama vya siasa barani Afrika. Sio unawaambia watu "pigeni kura matokeo niachieni mimi" lakini siku ya matokeo unajifungia ndani, halafu baada ya miaka miwili unaenda kupongeza juhudi. If people grant their trust on u, please learn to fight your battle to the last.
[HASHTAG]#Pili[/HASHTAG]; ni kuhusu Rais Uhuru Kenyatta. Huyu ni kielelezo cha kiongozi wa mfano bora kabisa wa demokrasia duniani. Ameonesha "political maturity" ya hali ya juu sana. Kama ni soka huyu ndiye "man of the match" kwa leo.
Mwanzoni vyombo vya usalama vilitishia kusambaratisha kusanyiko hilo la Raila. Ni wazi wangefanya hivyo yangetokea machafuko makubwa sana nchini humo na huenda sasa hivi tungekua tunasambaza picha za majeruhi na marehemu na hashtag isemayo "Pray 4Kenya"
Lakini Uhuru ametumia hekima ambayo viongozi wengi wa Afrika wamekosa. Ameamua kuwaacha wafuasi wa Raila waridhishe mioyo yao. Wakati wafuasi wa Raila wanafika uwanjani tayari Askari walikua wametanda viwanjani hapo na silaha nzito. Uhuru alijua kwamba pamoja na kuzuia askari wasishambulie raia, lakini wafuasi hao wangeweza kuwachokoza askari na hatimaye kuzusha taharuki. Kwahiyo akaamua kuwaondoa askari wote uwanjani.
Hii ni busara ya hali ya juu sana. Sio viongozi wengine wamejaa mihemko wakiona tu watu wamekusanyika na tishert za "Pray4Somebody" wanaagiza wapigwe. Huku ni kuyatumia vibaya majeshi. Ukiona hata katuni unakasirika. Ebo.!! Kiongozi ni lazima ujifunze kuzuia mihemko yako. Mtu amepigwa risasi, watu wamekusanyika kwa amani ili wamuombee, unaagiza Polisi kuwasambaratisha kwa mabomu. Kama kusanyiko la kumuombea tu mtu linakupa mihemko, vp ukisikia kuna kiongozi anataka kujiapisha kama Raila?
Kuna wakati viongozi husababisha maafa bila sababu yoyote kwa kuvitumia vibaya vyombo vya ulinzi na usalama. Ni muhimu viongozi wa Afrika wajifunze busara ya Uhuru kwamba si lazima matumizi ya nguvu kila mahali. Uhuru anajua hamna Ikulu mbili, hakuna cabinet mbili, hakuna mabunge mawili. Anajua Raila amejiapisha kujifurahisha tu na kukata kiu ya wafuasi wake. Lakini at last atarudi nyumbani akale "gideri" na mke wake. Sasa kwanini ajihangaishe kupiga mabomu na kuua watu bure? This is the true meaning of democracy.
Salaam kwa Faru John.!
Malisa GJ.
Utafikiri kamla kibiga wife wako!Hizo salamu mpelekee Dj ,fisadi nambari one na wana SACCOS wenzio
Not only hopeless but "shithole"Tabia kama hizi ndizo zinafanya sote tuonekane hopeless.
Wamjaribu tu! ndo tutajibu swali lako.Magufuli Angei handle vipi situation kama ya Kenya Jana?
Kumbe chipa GM ni mwana kada. Nilishangaa mada zako na majibu kuhusu usalama wa nchi.Watanzania tunakuwa inferior sana kwa hawa manyang'au. Km Uhuru mpenda demokrasia kwann amepiga marufuku vyombo vya habari visionyeshe..wakina malisa IQ zao ndogo sana bora kisoda. Km MTU Leo odinga na crew yake wamewekwa kwenye kundi LA waharifu na magaidi..tena kwenye government gazette. Vijana wengi hopel