Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

NAIPENDA KENYA,KAMA WANGEKUWA WANASAJILI RAIA WAPYA NINGEENDA HUKO BUREEEE!

UHURU KENYATTA ANA AKILI SANA!
sasa nimegundua kwann alikuwa anamuogopa J.KIKWETE!!!
 
Hakika umedadavua kama hajaelewa tu basi atakuwa na Frastiresheni kwelikweli
 
Nampongeza raila kwa uthubutu na ujasiri aliouonyesha hakika Mzee huyu no mwanaharakati aliyekomaa kwani ndie aliyewaongoza wakenya kupata katiba mpya na Leo kathubutu kujiapisha hakika Mzee unafaaa.Sio Tanzania tuliojaza mamluki utasikia nakabidhiwa nchi wiki ijayo Mara mwezi ujao atimae miaka inaondoka mwingine lindeni kura za udiwani na ubunge urais niachieni Leo ndo wa kwanza kupongezana hakika viongozi wengi wa Tanzania upinzani ni mamluki bora 2020 Tundu lissu ugombee.
 
Umenena point sana mkuu, agiza balimi hapo ulipo nakuja kuilipia.
 
Hakuna Rais wa kumfananisha na Uhuru kwa Africa hata Asia.
Yaani mwizi kakuibia halafu unamfukuza kageuka kashika panga halafu unamsifu kua ni muungwana kwa kua hajakukata shithole
 
Demokrasia hii hii iliyofungia vyombo vya habari vilivyokuwa na mpango wa kurusha hilo tukio mubashara?
 
Mkuu watu waelewa huwa hawana jealous huwa hawana kinyongo wanampongeza mtu kwa matendo yake sio kwa upande wake.
Nimefurahi kusikia umefuta kinyongo kwa huyu bwana. Kwani alienda kutoa pongezi zake kwa Mkulu na akazitoa hadharani...kwa tabasam na bashasha huku akimalizia "Mr. President you have made my day"
Msauri na Malisa naye aondoe kejeli dhidi ya huyu bwana kwenye bandiko lake.
 
Lakini lisu na lema walipomponda mamvi alipokwenda ikulu kumpongeza JPM uliona sawa, ila leo ndio unaona ni tofauti!!
mtu aliyewapa lile jina la wale wanyama maarufu kule serengeti hakika hakukosea!
Kumbe mnaposema ndani ya Chadema hakuna uhuru huwa mnadanganya.
 
Kuna kejeli gani hebu itaje hata moja nitamsaidia Malisa Godlisten kujibu.
 
La kujifunza lipo, nalo ni kuondoa matumizi ya nguvu.
 
hii nzuri sana pia kama ungemwambia mwenyekiti...kuwa watu wakitaka(wakihoji kuhusu) cheo chake haina haja ya kufa vifo visivyoeleweka wala kufukuzwa uanachama...awaache wahoji na ikibid wagombee....
salaam kwa djπŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
may be you are not informed au unaamua kupotosha..mbona mbowe huwaga anawashinda kwa kura kwenye chaguzi za mwenyekiti!
 
may be you are not informed au unaamua kupotosha..mbona mbowe huwaga anawashinda kwa kura kwenye chaguzi za mwenyekiti!
nitajie chaguzi huwa anagombea na nani angalau mbili zilizopita
 
nitajie chaguzi huwa anagombea na nani angalau mbili zilizopita
Freeman Mbowe akiwasalimia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema.

Freeman Mbowe ameshinda tena nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa baada ya kupata jumla ya kura 789 huku mpinzani wake Ngambaranyela Mongatero akipata kura 20.



Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakifuatilia mkutano huo.

Mbowe ameshinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa chama hicho uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara imechukuliwa na Prof. Abdallah Safari aliyepata kura 775 za ndiyo huku kura za hapana zikiwa 34 baada ya kuwa mgombea asiye na mpinzani.

Makamu Mwenyekiti Zanzibar ni Said Issa Mohamed aliyepata jumla ya kura 645 huku mpinzani wake Hamad Mussa Yusuph akiambulia kura 163.GPL(P.T)
 
Nchi moja. Marais wawili, tuendelea na hizi siasa za Afrika
 
Bahati yake hakusema anaapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya.
 
ngambaranyela montangero😱😱😱😱😱😱 that ridiculous ....yaani vichwa waliopo cdm akagombee mtu asiyejulikana na akapotea zake....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...mkuu ntashukuru kama utaweka hata picha ya ngambaranyela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…