Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

Uchaguzi usioku
Kama NASA wangekubali kushiriki kwenye uchaguzi wa marudio wangekuwa na pahala pa kunzia. Amefanya kosa kama walilofanya CUF kususia uchaguzi wa marudio ZNZ. Inajulikana kwamba wangeshindwa hata kwa bao la mkono lakini uchaguzi unafanyika mchana kweupe mbele ya camera na macho ya watu wengi ambao baada ya uchaguzi watatoa tathmini zao kuhuzu zoezi lote la uchaguzi ulivyofanyika, matokeo, na kutangwa mshindi.

Ukisusia uchaguzi utakuwa umekula mtaji wako wote wa kisiasa. Raila ataapishwa kama nani wakati aligomea uchaguzi halali kwa mujibu wa Katiba na sheria za Kenya? Uchaguzi ambao yeye alishiriki ulifutwa na mahakama kihalali kabisa na yeye alikubaliana na uwamuzi wa mahakama wa kuufuta uchaguzi.

Anastahili kupewa adhabu kali sana kama atajiapisha.
uchaguzi usiokuwa huru kususia ni bora zaidi kuliko kushiriki
 
Back
Top Bottom