BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga.
Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa sasa ni masoko ya wachuuzi, ujinga mtupu, nenda huko sijui Mwanza ni the same.
Kenya pamoja na kuwa na uhaba wa Aridhi Nairobi anngalau wana Uhuru park yao nzuri ambapo ingekuwa ni Tanzania in.
geisha badilishwa matumizi na kuwa soko la Wamachinga wauza bidhaa za China. Ukienda Mombasa kuna Gadeni, the same na Kisumu kote huko.
Sisi tuna kwama wapi? Aridhi si tunayo? shida ni ipi?