Uhuru Selemani asajiliwa Jomo Cosmos

Uhuru Selemani asajiliwa Jomo Cosmos

Joined
Jan 12, 2015
Posts
55
Reaction score
19
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Uhuru Seleman Mwambungu amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Jomo Cosmos iliyopanda kucheza ligi kuu ya Afrika kusini.

Uhuru ambaye msimu uliopita aliichezea Mwadui FC na kuisaidia kupanda ligi kuu msimu ujao atakuwa akilipwa mshahara wa Dola Elfu tano ( $5000) baada ya makato.

Jomo Cosmos held a press conference on the 16th of July 2015 at Southern Sun to announce the new signings. Chairman Jomo Sono is very confident that the players will compete this season in the Absa Premiership 2015-2016 league.

New Signings
1. Sulumba Mohammad Malawi international Blantyre United Striker 21yrs
2. Sibusiso Mdamba African Warriors Central Mid 29yrs
3. Pako Mahaabo Maluti FET College L/Wing 22yrs
4. Michael Gumede Thanda Royal Zulu R/L Wing 22yrs
5. Uhuru Seleman Tanzania international Simba Sports Club Striker 23yrs
6. Conrad Madolo Garankuwa United R/L Wing 30yrs
7. Mxolisi Macuphu Royal Eagles Central Mid 26 yrs

Released players
1. Njabulo Shongwe
2. Buthi Khoza
3. Mzandile Ndzimandze

SOURCE: New Signings | Jomo Cosmos

 

Attachments

  • IMG-20150716-WA0063.jpg
    IMG-20150716-WA0063.jpg
    85.9 KB · Views: 534
Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Uhuru Seleman Mwambungu amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Jomo Cosmos iliyopanda kucheza ligi kuu ya Afrika kusini.

Uhuru ambaye msimu uliopita aliichezea Mwadui FC na kuisaidia kupanda ligi kuu msimu ujao atakuwa akilipwa mshahara wa Dola Elfu tano ( $5000) baada ya makato.
 
Hao ndio wachezaji wa Kiafrika,Uhuru ana miaka 23? hatarii sana!
 
Hongora zake kwakweli,

Tunahitaji wachezaji wengi wa Kitanzania ambao ni professional ili tuwe na wigo mpana kuchagua wachezaji ktk timu ya Taifa. Hongera sana Suleiman.

BACK TANGANYIKA
 
Kazaliwa 1992, ina maana msimu wa 2005/2006 aliichezea Simba akiwa na miaka 13 🙂 🙂, ataitwa Stars soon
 
Wabongo bhana ni shida sana.
Badala ya kumpongeza Kwa jitihada alizoonesha nyie mnang'ang'ana na umri wake.
Shame on you.
 
Jamani simba nomaa okwii tumeuza, Uhuru suleman tumeuza pia!

Wale wanaojiita wa kimataifa vp mumeuza mchezaji gani nje ya nchi musimu huu???
 
Jamaniii.....jamaniii....jamaniiii,kama ni kudanganya basi kuwe na kiasiii....eeh bwana eeh!Uhuru Selemani ana miaka 23?Mmmmmmh!Ina maana kadri siku zinavyozidi kwenda mbele yeye miaka ndivyo inavyozidi kupungua?
 
Kila la Heri jembe letu Uhuru Suleiman........Tuwakilishe vyema huko WanaMsimbazi na Tz kwa ujumla..
 
jamani simba nomaa okwii tumeuza, uhuru suleman tumeuza pia!

Wale wanaojiita wa kimataifa vp mumeuza mchezaji gani nje ya nchi musimu huu???

okwi mmeuza wapi???hiyo timu mliyoambiwa amesajiliwa hata kumuona hawajawai na km unabisha google squard ya sondersjyke hadi kwenye timu yao ya under 12 hakuna okwi
 
Daaaa hiyo dili angeipata miaka 5 iliyopita angepiga pesa sana...lakini kwa hali ya majeruhi na umri atacheza msimu mmoja tu out...ligi ya SA ni ngumu sana...Mda mwingine unawalaumu wachezaji wa kibongo kuchekewa kutoka badala yake wameng'ang'ana Kariakoo
 
Back
Top Bottom