pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hasira ni za nini jombaa? Uhuru Kenyatta ndiye rais wa ACP, muungano wa mataifa 79, 68 kutoka SSA, 16 za Carribean na 15 kutoka Pacific. Nchi ya Tz ni moja ya mataifa hayo. Tulieni rais wenu atimize majukumu yake kama kiongozi wenu. Alafu ACP ni muungano wa kimataifa, kwahivyo hata mkigoma kama kawa kushiriki kwenye kikao chenyewe hakuna atakayestukia kwamba hampo.Sasa huo ubunifu na akili za Uhuru ziko wapi kama ni mtu mwenye kuongoza kwa " try and error style?". Kuhusu hivyo vikao, wanajifunza kutoka kwa nani wakati hakuna nchi hata moja iliyofanikiwa kudhibiti Corona?