Uhuru to meet Trump at White House today

Uhuru to meet Trump at White House today

84950707_2459701967468518_7552590008788451328_n.jpg
 
Trump na Shithole president

84181095_3278025888879579_5462697680339730432_o.jpg


84719522_3278025928879575_8539073237093449728_o.jpg



Duh Delta airlines kwa meza, competition kwa KQ
84844421_3278026122212889_1004797497136119808_o.jpg


84435552_3278026335546201_6751055846140018688_o.jpg




Rais wa marekani akifatwa na Makamu wake mike Pence akifatwa na Secretary of state Pompeo yani Senior most people in US govt wote wakiwa hapo
84626086_3278026005546234_6812448559640608768_o.jpg
 
Waafrika bwana, tunashindana nani anajipendekeza zaidi na kukubalika na wazungu.
 
Maskini jeuri, hivi unafahamu bajeti yenu ya taifa inategemea misaada wa hawa mabeberu, kwanza juzi Uswizi wamechomoa. Fuata hii link uone walitoa hadi mahari kwa ajili yenu
Hizi ndizo nchi ambazo zinaisaidia Tanzania kifedha

IZO NCHI ZINAZOISAIDIA TANZANIA KIFEDHA.

1. MAREKANI inatoa $600.80 M

2. UINGEREZA inatoa $214.79 M

3. SWEEDEN inatoa $137.59 M

4. CANADA inatoa $90.30 M

5. SWITZERLAND inatoa $32.70 M

6. DENMARK inatoa $ 53.85 M

7. FINLAND inatoa $17.06 M

8. IRELAND inatoa $22.71 M

9. POLAND inatoa $4.43 M

JUMLA YA MISAADA NI $1,174.23 B


Kuna baadhi ya vitu hata hautakiwi kujibu mkuu.
 
Kenya ni sawa sawa ni kibinti ambacho ni take away, kakikuona una hela tu, mara katavaa sketi fupi, mara kanengue mara kapepese macho ile mradi tu utembee nacho afu ukiachie mshiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom