Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Tanzania ndiyo nchi inayopata FDI mara mbili ya Kenya, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.1%, ule wa Kenya 4.8%. Wakati uchumi wa Tanzania unazingatia viwanda vyenye ouongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa nchini, na zile zinazozotumika na wananchi wa kawaida, ninyi mumekazania kuchekelea viwanda vya magari tena luxury vehicle vya wazungu, stupid.kwani ni rais yupi huwa haendi kwenye kongamano kama hizi? ndio maana Kenya inawazidi hawa wenzetu licha ya kuwa nchi ndogo na kame...rais mwingine yupo amejifungia kijijini kana kwamba anaogopa kupanda ndege...rais hapendi wageni huwa anatamani sana kuwafukuza..rais hapendi wawekezaji anawafukuza.... kisha wananchi wanajiuliza mbona viwanda vya magari vyote vimeenda Kenya...utapata aje wawekezaji ila kila kongamano linapoitwa haupo...kila wawekezaji wanapokutana mahali kujadili biashara haupoπππ...endeleeni kujenga viwanda vya kutengeneza juisi na blender na viwanda vya vyerehani vinneππππ..kesho mta import pipi nyie vilaza wa dunia..
Ukiwa Mzalendo, utakua na uchungu mwingi na nchi yako. Angalia mfano wa JPM, si mara moja amesema kwamba afhadali aende kijijini kwao afuge ngombe na mbuzi kuliko kuvumilia uozo na ufisadi wa nchi yake.mkikuyu akili punguani ana machungu sana aiseeπππ
7%(51gdp) na 5%(78gdp) nani anaongeza zaidi?Tanzania ndiyo nchi inayopata FDI mara mbili ya Kenya, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.1%, ule wa Kenya 4.8%. Wakati uchumi wa Tanzania unazingatia viwanda vyenye ouongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa nchini, na zile zinazozotumika na wananchi wa kawaida, ninyi mumekazania kuchekelea viwanda vya magari tena luxury vehicle vya wazungu, stupid.
Kenya ranked as 'failed state'
ni lazma utumie ezample na magufuli,huoni Kagame?Ukiwa Mzalendo, utakua na uchungu mwingi na nchi yako. Angalia mfano wa JPM, si mara moja amesema kwamba afhadali aende kijijini kwao afuge ngombe na mbuzi kuliko kuvumilia uozo na ufisadi wa nchi yake.
Lakini nyinyi labda hamna akili timamu ama mmelipwa kumwaga ushenzi JF
Now look you...I have never ever spoken any negative thing about our athletes! Never..ni lazma utumie ezample na magufuli,huoni Kagame?
But huwezi kuwa negative kwa kila kitu hadi to our athletes.
mimi pia ni NASA kama wewe but si lazma kilakitu upinge..sijaona mtu kama wewe ata wale wasee wa ODM damu hawako ivo.
Kama huna uwezi wa kuchangia mada nzito kama hizi, tafadhali usijidhalilishe, subiri mada za muziki na mapenzi zinakufaa zaidi.7%(51gdp) na 5%(78gdp) nani anaongeza zaidi?
There, u r absolutely right Mkikuyu- Akili timamu
If you cannot engage on issues and want to dwell on people please walk back to facebook..There are enough slayqueens to keep you busy.Gezaulole and @mkikuyuakilitimamu is just the same person with two accounts
Wenyu hajui kizungu anajua tu kisukuma sasa una expect aongee na wazungu aje ndio maana hatawai toka kwa hicho kijiji chenuπππππ
The guilty are always afraid. Anaishuku hio Doctorate yake akikumbuka aliisomea kwa lugha ya kimombo ambaye haiwezi wasiliana kwa ufasaha.Wenyu hajui kizungu anajua tu kisukuma sasa una expect aongee na wazungu aje ndio maana hatawai toka kwa hicho kijiji chenuπππππ
Kenya ranked as 'failed state'The guilty are always afraid. Anaishuku hio Doctorate yake akikumbuka aliisomea kwa lugha ya kimombo ambaye haiwezi wasiliana kwa ufasaha.
Hapo umempoteza kabisaaa.7%(51gdp) na 5%(78gdp) nani anaongeza zaidi?
Kenya ranked as 'failed state'Hapo umempoteza kabisaaa.
Ndio maaana gap inazidi kupanuka...mkitaka kuipiku kenya lazma growth yenu iwe 12%Kama huna uwezi wa kuchangia mada nzito kama hizi, tafadhali usijidhalilishe, subiri mada za muziki na mapenzi zinakufaa zaidi.
How Tanzania is bridging growth gap with KenyaNdio maaana gap inazidi kupanuka...mkitaka kuipiku kenya lazma growth yenu iwe 12%