Uhuru to open London Stock Exchange, meet Prince William

Uhuru to open London Stock Exchange, meet Prince William

kwani ni rais yupi huwa haendi kwenye kongamano kama hizi? ndio maana Kenya inawazidi hawa wenzetu licha ya kuwa nchi ndogo na kame...rais mwingine yupo amejifungia kijijini kana kwamba anaogopa kupanda ndege...rais hapendi wageni huwa anatamani sana kuwafukuza..rais hapendi wawekezaji anawafukuza.... kisha wananchi wanajiuliza mbona viwanda vya magari vyote vimeenda Kenya...utapata aje wawekezaji ila kila kongamano linapoitwa haupo...kila wawekezaji wanapokutana mahali kujadili biashara haupo😀😀😀...endeleeni kujenga viwanda vya kutengeneza juisi na blender na viwanda vya vyerehani vinne😀😀😀😀..kesho mta import pipi nyie vilaza wa dunia..
Tanzania ndiyo nchi inayopata FDI mara mbili ya Kenya, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.1%, ule wa Kenya 4.8%. Wakati uchumi wa Tanzania unazingatia viwanda vyenye ouongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa nchini, na zile zinazozotumika na wananchi wa kawaida, ninyi mumekazania kuchekelea viwanda vya magari tena luxury vehicle vya wazungu, stupid.
Kenya ranked as 'failed state'
 
uhuru_opens_market_a5ad5dc2487644.jpg
 
Congratulation kwa Vasco Dagama of East Africa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
mkikuyu akili punguani ana machungu sana aisee😀😀😀
Ukiwa Mzalendo, utakua na uchungu mwingi na nchi yako. Angalia mfano wa JPM, si mara moja amesema kwamba afhadali aende kijijini kwao afuge ngombe na mbuzi kuliko kuvumilia uozo na ufisadi wa nchi yake.
Lakini nyinyi labda hamna akili timamu ama mmelipwa kumwaga ushenzi JF
 
Tanzania ndiyo nchi inayopata FDI mara mbili ya Kenya, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi ya 7.1%, ule wa Kenya 4.8%. Wakati uchumi wa Tanzania unazingatia viwanda vyenye ouongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa nchini, na zile zinazozotumika na wananchi wa kawaida, ninyi mumekazania kuchekelea viwanda vya magari tena luxury vehicle vya wazungu, stupid.
Kenya ranked as 'failed state'
7%(51gdp) na 5%(78gdp) nani anaongeza zaidi?
 
Ukiwa Mzalendo, utakua na uchungu mwingi na nchi yako. Angalia mfano wa JPM, si mara moja amesema kwamba afhadali aende kijijini kwao afuge ngombe na mbuzi kuliko kuvumilia uozo na ufisadi wa nchi yake.
Lakini nyinyi labda hamna akili timamu ama mmelipwa kumwaga ushenzi JF
ni lazma utumie ezample na magufuli,huoni Kagame?
But huwezi kuwa negative kwa kila kitu hadi to our athletes.
mimi pia ni NASA kama wewe but si lazma kilakitu upinge..sijaona mtu kama wewe ata wale wasee wa ODM damu hawako ivo.
 
Now look you...I have never ever spoken any negative thing about our athletes! Never..
Kagame is a dictator life president, there is nothing to admire about him..He is no different from Gadafi who created a first world libya but with no sustainable political foundation
 
Gezaulole and @mkikuyuakilitimamu is just the same person with two accounts
If you cannot engage on issues and want to dwell on people please walk back to facebook..There are enough slayqueens to keep you busy.
I have overcome so many false postulations and mis information about me here on JF.. You are not the first one to peddle such nonesense and definately not the last one. I realy dont care and many JF members also dont..it has become an old tired narrative that no one entertains
 
Wenyu hajui kizungu anajua tu kisukuma sasa una expect aongee na wazungu aje ndio maana hatawai toka kwa hicho kijiji chenu😀😀😀😀😀
Wenyu hajui kizungu anajua tu kisukuma sasa una expect aongee na wazungu aje ndio maana hatawai toka kwa hicho kijiji chenu😀😀😀😀😀
The guilty are always afraid. Anaishuku hio Doctorate yake akikumbuka aliisomea kwa lugha ya kimombo ambaye haiwezi wasiliana kwa ufasaha.
 
Kama huna uwezi wa kuchangia mada nzito kama hizi, tafadhali usijidhalilishe, subiri mada za muziki na mapenzi zinakufaa zaidi.
Ndio maaana gap inazidi kupanuka...mkitaka kuipiku kenya lazma growth yenu iwe 12%
 
Ndio maaana gap inazidi kupanuka...mkitaka kuipiku kenya lazma growth yenu iwe 12%
How Tanzania is bridging growth gap with Kenya
Ndiyo sababu nikasema wewe uwezo wako ni kuzungumza mambo ya mziki na mapenzi, mambo yanayohitaji kutumia akili nyingi huna uwezo, utabaki kusikiliza habari za kupikwa toka Jubilee na kuzishikia bango. Eleza inawezekanaje gari la nyuma linalokimbia kwa kasi kubwa kuliko la mbele bado gap iongezeke?. Stupid failed state.
 
Back
Top Bottom