Uhuru to open London Stock Exchange, meet Prince William

As an english teacher, Tell me the difference between "Rarely" and "Never" in the context of my discusion of personalities.
Both rarely and never can't be used to explain the frequency with which you talk about personalities. Escpecially Uhuru Kenyatta and his mother. Why are you puting on such airs? To prove how sophisticated you are? [emoji23]Try another one old man.
 
Well I cant determine your perceptions on how and when I discuss personalities. Suit yourself
 
Hivi hizi taatifa ni za kweli? Nimeona kwenye mitandao watu wanazungumza kuhusu 1.5 trillion kuibiwa Tanzania, noma sana.
Let me research on the story.
 
hehehe,huyo doggie alikuwa yuatisha kunywa sumu,noma sanaa😀

Aliwahi kutishia kujitoa uhai, ishakua mazoea.
Jamaa wanaumwa sana kuona rais Uhuru akili kubwa anavyoalikwa kwenye majukwa ya hali ya juu kuinadi Kenya, wenyewe wameogopa na kujifungia ndani kwa ajili ya mapungufu ya lugha na nondo
 
Hivi hizi taatifa ni za kweli? Nimeona kwenye mitandao watu wanazungumza kuhusu 1.5 trillion kuibiwa Tanzania, noma sana.
Let me research on the story.
It is a damn plain truth , the same old dirty game by Mafia cartel (CCM) which for so many decades now it has unleashed a reign of terror , theft and total destruction to the livelihoods of ordinary citizens across the country
 
Hii ni ukweli,waaaaaaaahhhh!!
 
And what do you hav to show apart from kuleta mafeelings jf and using a pseudo account?
 
Aliwahi kutishia kujitoa uhai, ishakua mazoea.
Jamaa wanaumwa sana kuona rais Uhuru akili kubwa anavyoalikwa kwenye majukwa ya hali ya juu kuinadi Kenya, wenyewe wameogopa na kujifungia ndani kwa ajili ya mapungufu ya lugha na nondo
Wao wanajua vyuma vimekaza huku kwenye kijani kibichi wakubwa zao wanakula kwenye sinia. Hata bakshishi ya ukoko hawatarajii kabisa kuionia
 
It is a damn plain truth , the same old dirty game by Mafia cartel (CCM) which for so many decades now it has unleashed a reign of terror , theft and total destruction to the livelihoods of ordinary citizens across the country

Wah! All that noise of 'kubana matumizi' kumbe is a facade, but now common mwananchi has been made to fasten up their belts believing all will be well, 1.5 trillion is a lot of money for such a country.
 
To make the matter even worst , currently this is one the most glorified leaders in Africa ,this makes me sick and I think this is the chronic curse on this continent , to get rid of this , we needs more than prayers ..............We need to hang these bastards just like the way China does
 
you don't Expect Kenya to be taxed the same as LDC
 
Tanzania is not and will not be like Kenya, those nonsense can't happen under JPM leadership. HAPA KAZI TU.
 
Tujikumbushe safari ya Kenyatta kwenda Uingereza ilianzia wapi, iliaanzia kwenye choices has consequences (kama mnakumbuka hii), baada ya hapo Kenyatta katinga Ikulu 2013, jina lake likakimbizwa The Hague haraka sana, Kenyatta katishia kufunga British military camp, waziri wa nje wa UK kaja Nairobi kuomba poo, kabla hatuja kaa sawa The Hague case collapse, British army still in Kenya mpaka leo. 2017 election Cambridge Analytical work tirelessly kumbakiza Kenyatta madarakani, mabalozi wa UK na USA wakafunga macho, midomo na madikio figisu zote za uchaguzi wa 2017, Kenyatta leo katinga UK kutowa shukurani zake za kupewa urais na kupewa second Eurobond hata huku Kenya ikiwa downgraded. Connecting dots?
 
Haileti mantiki maana ni matukio tofauti, soma kilichompeleka maana kimeelezwa vizuri in black and white kwenye huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…