Tujikumbushe safari ya Kenyatta kwenda Uingereza ilianzia wapi, iliaanzia kwenye choices has consequences (kama mnakumbuka hii), baada ya hapo Kenyatta katinga Ikulu 2013, jina lake likakimbizwa The Hague haraka sana, Kenyatta katishia kufunga British military camp, waziri wa nje wa UK kaja Nairobi kuomba poo, kabla hatuja kaa sawa The Hague case collapse, British army still in Kenya mpaka leo. 2017 election Cambridge Analytical work tirelessly kumbakiza Kenyatta madarakani, mabalozi wa UK na USA wakafunga macho, midomo na madikio figisu zote za uchaguzi wa 2017, Kenyatta leo katinga UK kutowa shukurani zake za kupewa urais na kupewa second Eurobond hata huku Kenya ikiwa downgraded. Connecting dots?