Uhuru to open London Stock Exchange, meet Prince William

Tujikumbushe safari ya Kenyatta kwenda Uingereza ilianzia wapi, iliaanzia kwenye choices has consequences (kama mnakumbuka hii), baada ya hapo Kenyatta katinga Ikulu 2013, jina lake likakimbizwa The Hague haraka sana, Kenyatta katishia kufunga British military camp, waziri wa nje wa UK kaja Nairobi kuomba poo, kabla hatuja kaa sawa The Hague case collapse, British army still in Kenya mpaka leo. 2017 election Cambridge Analytical work tirelessly kumbakiza Kenyatta madarakani, mabalozi wa UK na USA wakafunga macho, midomo na madikio figisu zote za uchaguzi wa 2017, Kenyatta leo katinga UK kutowa shukurani zake za kupewa urais na kupewa second Eurobond hata huku Kenya ikiwa downgraded. Connecting dots?
Huu ujinga unatoka akilini mwako ama account yako imekuwa hacked?
 
Haileti mantiki maana ni matukio tofauti, soma kilichompeleka maana kimeelezwa vizuri in black and white kwenye huu uzi.
Wewe unasema tofauti maana na wewe unafumba macho na masikio, Eurobond inatoka wapi? Mara ngapi foreign minister wa Uingereza wamekuja Kenya? Tena wawili tofauti. Je, Kenyatta hakutishia kufunga camp ya Waingereza? Je, Kabla ya uchaguzi wa 2013 Waingereza hawakuleta wanajeshi wengi kuingia Kenya mpaka Kenyatta akalalamika? Mbona hizo kelele zimeisha baada ya kesi the Hague kuzinwa? Wewe unaona mkutano wa commonwealth unaona ni hicho tuu ndio kilicho mpeleka, hao jamaa wana mengi yanayowapeleka kwenye safari za nje.
 
Ndio nimekuambia unachanganya matukio, kila tukio huwa linatolewa taarifa zake, sasa hili hapa taarifa zake zimewekwa bayana, lile la Uhuru kuzuia wanajeshi wa Uingereza kuingia Kenya lilitolewa taarifa zake, mambo ya Hague yalijaza magazeti. Hivyo tujadili kila tukio na taarifa zinazozihusu sio kuanza kubwabwaja mambo ambayo hayajatajwa.

Ninachojua ni kwamba rais wetu kila akitoka huwakilisha nchi pakubwa na kuibuka na mazuri mengi kwa ajili ya taifa letu. Haogopi na hana uwoga kuingia kwenye jukwa lolote wakati wowote siku yoyote, anajiamini balaa na kujielewa na kufahamu nchi inahitaji nini na kutoka wapi na kipindi gani.
 
Hahaaa.. jinsi unavyo jibu ina onesha kabisa kwamba huna hoja. Mwanzi 1 anakwambia yeye ame connect dots na ameelezea, wewe badala ya kuja na maelezo una insist eti kila taharifa ina maelezo yake. Wewe jamaa siku izi umekua mwepesi sana, hiyo bangi unayo vuta achana nayo.
 
Huyu msishabikie ni Kwa sababu anasaidia kunyonya wakenya wenzao nanyi mnashabikia eti ni Great achievement. None sense
 
Ndio nimekuambia unachanganya matukio, kila tukio huwa linatolewa taarifa zake, sasa hili hapa taarifa zake zimewekwa bayana, lile la Uhuru kuzuia wanajeshi wa Uingereza kuingia Kenya lilitolewa taarifa zake, mambo ya Hague yalijaza magazeti. Hivyo tujadili kila tukio na taarifa zinazozihusu sio kuanza kubwabwaja mambo ambayo hayajatajwa.

Ninachojua ni kwamba rais wetu kila akitoka huwakilisha nchi pakubwa na kuibuka na mazuri mengi kwa ajili ya taifa letu. Haogopi na hana uwoga kuingia kwenye jukwa lolote wakati wowote siku yoyote, anajiamini balaa na kujielewa na kufahamu nchi inahitaji nini na kutoka wapi na kipindi gani.
Aisee sindano imegusa mfupa, japo unafumba macho lakini hata wewe unaona nukta zinaunganika.
 
Hapa tunajadili kuhusu rais Uhuru kufungua soko la hisa la London, sasa ungekomaa na umuhimu wake kiuchumi kwa Kenya, sio kuanza kupindisha tujadili vya Hague na wanajeshi wa UK.
 
Mimi nimeweka hoja ya kwanini yuko hapo na kwanini yuko kwenye soko la hisa, pitia hoja zangu zote za nyuma nimetaja Eurobond, nimetaja shukurani nimetaja Cambridge Analytical. Wewe uko busy kufunga watu midomo ili tuseme yale tu unayo yataka sisi tuseme, sasa kama ni hivyo ilifungiwa uzi wote huu wa nini?
 
Kuna vitu zaidi ya 1,000 ambazo anaweza akajadili na UK, nje ya hivyo uvijuavyo vya Eurobond, sijui Hague mara Cambridge, lakini taarifa zinaongelea moja, pangekua na mengine yangetajwa.
 
Back
Top Bottom