Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe

Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe

Wadau hamjamboni nyote?

Ndugu zangu wazalendo
kwa hali iliyopo ya uhuru uliopitiliza itachukua miaka mingi nchi yetu kupata maendeleo

Kwa maslahi mapana na maendeleo ya nchi yetu nashauri sheria ya kuweka watu kizuizini "detention" irejeshwe mara moja kuwadhibiti wanaotumia uhuru wao vibaya

Karibuni tujadili
 
Hiyo Sheria ilikuwepo sana wakati wa Nyerere, mbona wananchi waliishia kuvaa viraka? Wajinga wa aina yako ndio wataharakisha machafuko ama mapinduzi ya kijeshi kuitoa nchi hii kwenye mikono ya majizi ya kura.
 
Aisee wewe jamaa ni mpumbavu kiwango cha lami, yaani viongozi majizi waibe mali za taifa watu wakiohoji wawekwe kizuizini!! Hii akili yako itakufikisha wapi
 
Wale waloficha Pesa China wanapandishwa Vyeo na kuwa Majaji na watakaohoji wawekwe kizuizini?🤬🤬
 
Back
Top Bottom