Wewe unaejielewa upo wapi mzeee acha kupanic. Hizo huruma unazozitafuta hapa utazipata kwenye familia yako hapa kila mtu anakomenti kulingana na anavyotaka yeye.Ukikua kiakili utaacha.
KWASASA TUNAKUPA MUDA UKUE KIAKILI KWANZA (HAUJIELEWI).
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kwahiyo bora tutumie kanuni ya "Iron sharpens Iron" au "Tit for Tat"Hayupo wa kuyazui mawazo mbadala,hata Mungu hawezi
Hauna Akili Dogo, usinipotezee muda na Upuuzi wako.Wewe unaejielewa upo wapi mzeee acha kupanic. Hizo huruma unazozitafuta hapa utazipata kwenye familia yako hapa kila mtu anakomenti kulingana na anavyotaka yeye.
Kama hautaki katafute chaka jingine😂😂😂😂😂😂😂
Kweli mkuu.Popoma humu jukwaani wapo wengi sana na ndo wanaongoza kwa kutukana sana
Inawezekana pia falsafa yako ya kuona bandiko fulani halifai na limekiuka maadili ina very intolerant and low bar, ukiiweka ripoti yako kwenye mizani ya hao unaowapa ripoti, wanaona hapa mbona hamna kikubwa ni rabsha za kawaida tu za personalities conflict, educational level differences, cultural clashes, ambazo ukiwaweka watu wengi ni lazima zitatokea tu, na kufutafuta kila bandiko linaloripotiwa si suluhisho, inabidi watu wajifunze kuishi pamoja tu.Hapo juu kulia kwa mada kuna vidoti 3, ukivifungua kuna option ya kuripoti bandiko la mchango unaodhani umekiuka maadili. Tatizo hata ukiripoti mara 100 hakuna hatua inayochukuliwa, wakati fulani nadhani natenda dhambi kufikiri kuwa labda hali iko hivyo kutokana na kwamba huenda mmiliki wa jamvi naye kakuzwa kwenye mazingira dhalili kama haya ndiyo maana hawezi kuchukuwa hatua.
Naunga mkono hojaKweli mkuu.
Empty brain commits/thinks crime.
Mtu anaepinga kitu kwa hoja za ajabu huwa namuona hana akili.Wewe utakuwa mgeni wa mtandao, karibu mtandaoni...
Actually JF imekuwa ya kistaarabu sana sasa hivi, sababu joto la kisiasa sio kubwa sana, na tension za kidini hazijafikia za wkati ule
miaka ya 2015/2016 hii unayoiona ilikuwa cha mtoto
Sasa mbona wewe ndio unaongoza kwenye huu uzi wako kwa kuwadhalilisha watu? Naona umegeuka kua mpiga ramli wa kujua tabia za watu,Wewe ni Mwanaume, kama sio basi wewe ni Mwanamke Muhuni.
UNA KILA VIASHIRIA VYA KUWA MUHUNI.
Wewe punguani usitupangie,tupo huru kuchangia JF tutakavyo,kama unaona hapa hapakufai toka,hujalazimishwa kua member wa JF,wewe ni nani utupangie?Umesoma maongezi yetu yalipoanzia?
ACHA KUKOMENTI KAMA HUNA UNALOJUA.
Nenda kawapangie cha kuongea kwenu huko,hii ni forums,acha ujinga.Wewe Matak* nin?
Sasa unamtisha nani Kiboga ww.
Wewe ndio huna akili na usiyejielewa. Hapo nimemuelezea mtoa mada uhalisia wa mtandaoMtu anaepinga kitu kwa hoja za ajabu huwa namuona hana akili.
Kwahyo kujiunga zamani ndio nini, hivi wewe unajielewa kweli?
Mimi npo Jf kitambo sana na wala siwezi kubisha hoja ya mtu kwa kigezo cha muda aliojiunga humu.
Tumia akili kabla ya kubisha kijana
Kafie mbaliKajifunze kuandika kwanza.
Wewe ndio umeanza ujingaAcha makasiriko Mkuu.
Tupo kuchangamsha Jukwaa humu.
Mkuu nadhani mdharau tu, mtoa hoja.Nenda kawapangie cha kuongea kwenu huko,hii ni forums,acha ujinga.
Nimekuelewa mkuu,heshima kwako.Mkuu nadhani mdharau tu, mtoa hoja.
Tuna jamii mbovu sanaWanazipata likes nyingi tu, wakati fulani kuliko hata likes za mada za kistaarabu, hii ni indicator kwamba jamii imefika pabaya.