Uhuru una mipaka Jiheshimu Mkuu


JF imepoteza sifa zake JF ilikuwa nzuri miaka ya nyuma watu wanajielewa sasa hivi watoto wengi wapuuzi wengi msg zao za kipuuzi hazikatwi ovyo sana
 


Umesema siasa mtu asimdharau mtu, kwa mfano, ukisema Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe alipata Div 0 Form 6, na iko wazi, hii ni dharau au ni kukosa heshima? Sasa Div 0 tuite vipi? Au Division 0 ina jina lingine? Au tukisema Lema alikuwa mwizi wa magari kabla ya kuingia ktk siasa ni dharau? Au tukisema Mbowe ni dikteta huko CHADEMA, nani chama cha familia na hakuna demokrasia CHADEMA kama wanavyojinadi maana haachii uenyekiti hiyo ni dharau? Na ushahidi upo wazi wa udikteta

Lazima ukisema dharau, ujue imetumika wapi, ila ukweli huwa mchungu sana, ukisemwa usipokuwa makini unaweza sema ni dharau au tunachafua mada ktk siasa kumbe ni ukweli, so weka kipimo chako sahihi wakati wa kusema mtu kadharauliwa au kachafua mada.
 
utaletaje mada usipingwe?

mbona inaonesha kama wewe ndio una tatizo kubwa zaidi?

usiwaambie watu "hawana uhuru"...wewe sema "watu wasikuingilie uhuru wako"....

wewe sio universal uhuru giver to human beings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ