Uhuru urges Tanzania, Burundi to effect work permit fees waiver

Hehehe!! When will it ever be time for Tanzania on anything to do with EAC's agreements.
Halafu hili suala la work permits kadiri mnavyozidi kuligome mkidhani mnawahangaisha Wakenya na Waganda ujue linawaadhiri na nyie pia. Maana gharama zote za hivyo vibali zinalipwa na makampuni yenu.

Mjiulize nini kinasababisha makampuni yenu yahangaike kuingia gharama ya kuwalipia wageni hivyo vibali vyote na kuacha wazawa. Mjiulize mbona rais wenu ameamua bora awaite wataalam kutoka nchi jirani ya Rwanda waje wafanye kazi kwenye idara nyeti ya TRA wakati wazawa wapo. Siku mtakaa na kujiuliza hayo maswali na kuyajibu na kuyapatia suluhu la kudumu, ndio siku mtaacha kuhangaika na kukimbia kivuli chenu.

Leo hii kwa kweli makampuni yenu yanaingia gharama za vibali na kupata hasara, maana mimi kama Mkenya siwezi kuja kwenye nchi ya watu kufanya kazi kama kampuni haitolipia vibali vyangu. Lazima walipe kila kitu na hadi nione vyote vipo tayari ndio niabiri KQ, hayo maisha ya kujificha ficha uhamiaji siwezi kuyaishi.
bila shala ulitaka uandike linawaathiri
 
bila shala ulitaka uandike linawaathiri

Asante nitazingatia ushauri wako siku zote, sasa vipi mchango wako kwenye mada husika, una nini cha kuchangia.
 
When you study regional integration in the EAC, you'll realise that this issue goes all the way even to Tariff barriers.

Kenya has currently waived all tariffs on Ugandan and Tanzanian products brought to Kenya. This means that products imported from these countries pay no 'tax' otherwise reffered to as 'tariffs'.

On the other hand, Uganda and TZ charge a 5% Tariff on kenyan products that are exported to their markets. The reason Kenya allows this to happen is mainly based on some sort of 'good faith' because TZ and UG governments claim that they really need that 5% tariff to supplement their Govt income, which are considerably lower than that of the Kenyan Govt.

This 5% tariff however also means that TZ and UG end up shooting themselves in the foot, because the goods will have to be sold at a higher cost, to meet the tax charged. In simpler terms, The two Governments end up earning a lot of money, but the citizens suffer because products become very expensive to buy.

(Keep the coments on facts. No insults or petty talk)

I think you are mistaken on this bro. (I respectfully assume you are a guy) 🙂.

There is no "special" 5% tariff on Kenyan products entering UG/TZ or 0% vice versa. The whole essence of forming a customs block is to harmonise tax rates within it not eliminate them. There is a CET rate guide that goes goes category by category and prescribes agreed tariffs for the block or exemption as negotiated by country.

See it here. http://www.eac.int/customs/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=5&Itemid=

I really doubt any sane leader would agree to what you've just described up there since it would mean zero taxes from some of its largest trading partners.
 
Free movement is more than waiver of work permit, means freedom to:
-look for a job in another EA country
-work there without needing a work permit
-reside there for that purpose
-stay there even after employment has finished
-enjoy equal treatment with nationals in access to employment, working conditions
and all other social and tax advantages. Has Kenya, Uganda and Rwanda waived work permit or work permit fee for EA citizen?

Umeibua maswali ya msingi sana, kwa kifupi hata Kenya bado hatujaachia kabisa maana kama bado Mganda hawezi kuja Kenya bila kuhitaji kibali cha kazi na kufanya kazi na hata baada ya kazi yenyewe awe na ruhusa ya kutulia huku akitafuta ajira nyingine bado hatujafika. Japo hatua tulizotimiza kufikia hapo ni chanya na tutafika huko tu.

Huwa inauma sana unapokwenda kwenye nchi jirani halafu unazoeana na wenyeji, mnakua kama mandugu, mnaishi pamoja na kufanya mengi mazuri pamoja halafu unalazimika kuondoka muda wa vibali ukiisha.
 
Haha no worries, I'm a guy.

Last i ckecked, that was the arrangement. Anyways for avoidance of doubt I'll get the clear statistics and post them
 
Jumuiya haimaanishi kuwa nchi husika zinapoteza uhuru wake. Ukizoeana na baba wa jirani sio maana yake uwe unaenda kula githeri kwake kila siku.
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zote zinakabiliwa na changamoto za ukosefu wa ajira kwa watu wake, ni mtu mpuuzi peke yake atafungulia milango watu wa nje kwenye ajira.
 
Please do, though the most reliable would be the EAC handbook I just posted which has all tariff rates for nearly all products being produced in the region. The 5% you are talking about could be a particular product that Kenya has allowed (there is a lot of horse-trading within the block) but not on "all Kenyan products" as you asserted.
 
Jumuiya haimaanishi kuwa nchi husika zinapoteza uhuru wake. Ukizoeana na baba wa jirani sio maana yake uwe unaenda kula githeri kwake kila siku.
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zote zinakabiliwa na changamoto za ukosefu wa ajira kwa watu wake, ni mtu mpuuzi peke yake atafungulia milango watu wa nje kwenye ajira.

Ndio mara ya kwanza unachangia kwenye huu uzi bila chuki za kikabila, umetiririka na chuki kiasi kwamba wengi tukisoma sentensi moja tu yako ya mwanzo tunapuuza mengine yote uliyoandika na hatuyasomi. Watu wanachangia kwa ustaarabu humu, hivyo tuliza chuki na wataacha kukupuuza.

Unachosema ni kweli na kina mantiki, lakini alichoibua simplemind ni kwamba wanatumia neno "free movement of people" vibaya. Maana kinachotendeka sio hicho bali ni kwamba tumefuta tu gharama ya vibali Kenya. Maana halisia ya "free movement of people" bado haijatimizwa na nchi zote.

Japo ukikaa na wawekezaji Tanzania watakuambia kero wanazopata kila wanapohitaji mgeni kutokea EAC afanikishe chochote. Unakuta kuna wakati anahitajika Mkenya kuja kufanya consultancy ya siku tano, lakini urasimu na gharama anayoingia muwekezaji inakua kero.
 
kilam shikamoo. Naona wewe umefunga mjadala. Kweli hii kitu ni hasara chungu nzima kwa Tz.
Uhuru asubiri tu kwanza labda vitukuu vya vitukuu wake ndio watakubaliana iyo masuala aise, kiroho safi.
 
Tukiweka hii si bora kuungana tu maana tutakua tunatofautiana sanasana jeshi tu, wakenya watapiga hela balaa, jamaa wamejikita sana hasa kwenye tech industry huku ndugu zake bado wanatambaa. I'm waiting patiently kuona what their decision will be, inabidi waende carefully, hela inaweza egemea upande moja kwa speed sana
 
Hehehe!! Nimecheka sana hadi mahali nilipo watu wakaniona chizi.

Halafu sikubaliani na hiyo signature yako, there are lots more of OO ways to get wealthy than inheritance, for instance try overriding parent methods.
 
Asante nitazingatia ushauri wako siku zote, sasa vipi mchango wako kwenye mada husika, una nini cha kuchangia.[/QUOTE
nilichoandika ni mchango tosha...au unataka niandike kitakachokufurahisha😀😀😀,haya,hongra san Nyag`au,kuna sehemu Industrial Park inafunguliwa,hongera sana
 
For the sake of (New)East African community,all the member states have to speak one voice,with me I see that,there is no need of contradict each other,let them join hands for the welfare of the Community,verbal arguments should be left apart, when it comes to the matter of strengthen our brotherhood and oneness!!!,,
And that voice must be "Dont rig elections"
 
Free movement is more than waiver of work permit, means freedom to:
-look for a job in another EA country
-work there without needing a work permit
-reside there for that purpose
-stay there even after employment has finished
-enjoy equal treatment with nationals in access to employment, working conditions
and all other social and tax advantages. Has Kenya, Uganda and Rwanda waived work permit or work permit fee for EA citizen?

i live and work in Ug currently. The Ugandan Gava has waived work permit fees although one has to have a work permit to work here. Now getting the work permit is the issue. despite the fact that it is free of charge, the employer applying for work permit on behalf of the employee must prove that the job being offered to the non Ugandan cannot be performed by a Ugandan. Basically, only managerial jobs can be given to foreigners. However, business can be done by any one from Kenya and Rwanda with very minimal red tape.
 
We shall overcome albeit at snail pace. Afrika ni moja.
 
Pwani yote ya Kenya wenyeji hawana ardhi Mtanzania aje kufanya nini. Ghiliba za Wakikuyu haziwezi kubadilisha msimamo wa Tanzania. Kila mtu atulie nchini mwake na amlilie Rais wake atengeneze ajira kwa watu wake. Ni upunguani kwa Mkenya kutaka sheria za Tanzania zimfurahishe yeye.
ni vibaya kujidai unajua kenya nahamna lolote ujualo.....am from coast and what you are saying is just nonsense.yap we agree Uhuru has alot of land kule Taita but ukisema wapwani hawana land umedanganya vibaya sana
 
Hehehe!! When will it ever be time for Tanzania on anything to do with EAC's agreements.
Halafu hili suala la work permits kadiri mnavyozidi kuligome mkidhani mnawahangaisha Wakenya na Waganda ujue linawaadhiri na nyie pia. Maana gharama zote za hivyo vibali zinalipwa na makampuni yenu.

Mjiulize nini kinasababisha makampuni yenu yahangaike kuingia gharama ya kuwalipia wageni hivyo vibali vyote na kuacha wazawa. Mjiulize mbona rais wenu ameamua bora awaite wataalam kutoka nchi jirani ya Rwanda waje wafanye kazi kwenye idara nyeti ya TRA wakati wazawa wapo. Siku mtakaa na kujiuliza hayo maswali na kuyajibu na kuyapatia suluhu la kudumu, ndio siku mtaacha kuhangaika na kukimbia kivuli chenu.

Leo hii kwa kweli makampuni yenu yanaingia gharama za vibali na kupata hasara, maana mimi kama Mkenya siwezi kuja kwenye nchi ya watu kufanya kazi kama kampuni haitolipia vibali vyangu. Lazima walipe kila kitu na hadi nione vyote vipo tayari ndio niabiri KQ, hayo maisha ya kujificha ficha uhamiaji siwezi kuyaishi.
Mbona mambo mengine mnajiamulia wenyewe hatusikii EAC spirit?
 
i live and work in Ug currently. The Ugandan Gava has waived work permit fees although one has to have a work permit to work here. Now getting the work permit is the issue. despite the fact that it is free of charge, the employer applying for work permit on behalf of the employee must prove that the job being offered to the non Ugandan cannot be performed by a Ugandan. Basically, only managerial jobs can be given to foreigners. However, business can be done by any one from Kenya and Rwanda with very minimal red tape.

Basically, there are many ways to skin a cat no? 🙂.
 
Jumuiya haimaanishi kuwa nchi husika zinapoteza uhuru wake. Ukizoeana na baba wa jirani sio maana yake uwe unaenda kula githeri kwake kila siku.
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zote zinakabiliwa na changamoto za ukosefu wa ajira kwa watu wake, ni mtu mpuuzi peke yake atafungulia milango watu wa nje kwenye ajira.

Kuna research yoyote ya ku-support assertion yako hapo juu? Unaweza ukafungulia ajira na bado ukaongeza ajira nchini. Maana correlation does not imply causation.
Nchi hizi zimekataa tu kufikiria.
 
Hatuzungumzii wafanyabiashara hapo, tunazungumzia muajiriwa wa kawaida.
 
Back
Top Bottom