Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 112
Habari wakuu wanajamvi? Ningependa kujua kati ya hawa watayarishaji mziki kutoka Afrika,ni nani anayetengeneza beat nzuri kati ya Dunga Ambros wa Mandugu digital na Uhuru wa Kalawa jazmee. Na tusiongelee mafanikio ya pesa na kujulikana kwa sana bali utaalamu wa ladha tofauti. Karibuni.