Uhuru vs Dunga Ambros

Uhuru vs Dunga Ambros

Half London

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
261
Reaction score
112
Habari wakuu wanajamvi? Ningependa kujua kati ya hawa watayarishaji mziki kutoka Afrika,ni nani anayetengeneza beat nzuri kati ya Dunga Ambros wa Mandugu digital na Uhuru wa Kalawa jazmee. Na tusiongelee mafanikio ya pesa na kujulikana kwa sana bali utaalamu wa ladha tofauti. Karibuni.
 
Afrika nawajua producers wawil tu master craft na man water
 
Kila mmoja ana touch zake,Myself namkubali Dunga kwa beat zake na asingezidisha ulevi kipindi fulani angekuwa mbali.Maana aliitambulisha vizuri bounce sikia track ka Nipeni dili,maboo,etc zinatouch fulan isiyochuja
 
ndio maana nikasema Dunga na Uhuru tu. Hata hao wengine tunawajua,lakini tumeamua kuwaongelea hao. Hata mimi binafsi ninaona Dunga yuko vizuri zaidi.
 
Kila mmoja ana touch zake,Myself namkubali Dunga kwa beat zake na asingezidisha ulevi kipindi fulani angekuwa mbali.Maana aliitambulisha vizuri bounce sikia track ka Nipeni dili,maboo,etc zinatouch fulan isiyochuja

Na vile vibwagizo anavyoviweka kwenye beat zake zinapendeza sana. Kama Anitha ya Matonya,naona raha(sina uhakika na hili jina la nyimbo) ya MB Dog Mr. Politician na nyingine za Joh Makini.
 
Uhuru kama sikosei wao sio ma producer producer wao ni oskido ndo katengeneza album yao
 
Uhuru ni producer na wako wanne kweny lebel record yao ya Kalawa. Na album yao ni hiyo y tchukutcha inayotamba sasa hivi.
 
Beat za Dunga ziko juu kushinda Uhuru japo Dunga hajulikani sana. Jamaa ana club banger nzuri, hata nyimbo za hiphop zinachezeka
 
Back
Top Bottom