Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 112
Habari wakuu wanajamvi? Ningependa kujua kati ya hawa watayarishaji mziki kutoka Afrika,ni nani anayetengeneza beat nzuri kati ya Dunga Ambros wa Mandugu digital na Uhuru wa Kalawa jazmee. Na tusiongelee mafanikio ya pesa na kujulikana kwa sana bali utaalamu wa ladha tofauti. Karibuni.
Afrika nawajua producers wawil tu master craft na man water
Kila mmoja ana touch zake,Myself namkubali Dunga kwa beat zake na asingezidisha ulevi kipindi fulani angekuwa mbali.Maana aliitambulisha vizuri bounce sikia track ka Nipeni dili,maboo,etc zinatouch fulan isiyochuja
Uhuru kama sikosei wao sio ma producer producer wao ni oskido ndo katengeneza album yao
Uhuru kama sikosei wao sio ma producer producer wao ni oskido ndo katengeneza album yao