Uhuru wa kutoa maoni kikatiba

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
2,569
Reaction score
500
Chadema tuelekeze nguvu vijijini na tusibweteke kwani hatujui nani kanali wa jeshi la ccm tutayepambana nae 2015 kwani kama mugabe kashinda sintoshangaa hata lowasa akishinda kwa kisingizio cha wizi wa ccm wa kura au busara za upinzani ku restore peace kama tulivozoea tunawaamini na tusingependa chadema cha kikuu cha upinzani tz kikiwa ndicho chama cha kutucheleweshea maendeleo badala ya kuwa ndio ufunguo wa democrasia...


CC. DR .W. SLAA
BCC. MBOWE, MNYIKA, ZITTO ETC
 

hilo la chadema kushinda uchaguzi 2015 sahau kabisa. ccm hata wakisimamisha mbuzi itashinda tu
 
halafu sijui nani anawadanganya chadema. maana ndoto za kushinda 2015 haziishi. sijui mtajificha wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…